1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
kilinganisha level ya kujielewa kwa wenzetu na Huku kwetu utaona tunasafari ndefu sana.
Vituo vya mwendokasi hata miaka kumi havijamaliza kaangalie saivi vikoje, mabasi tangu yaanze kutumika hata muda hayana kaangalie saivi yakoje. Kama ilivyo hapa Tanzania sio wote hawajastaarabika na huko ni hivyo pia sio wote waliostaarabika tukiweka kwa namba naweza zaidi ya robo tatu huku hawajastaarabika ila kwa wenzetu ni zaidi ya robo tatu watu wamestaarabika.
Si unaona hata Libya brother, yani Africa hata uwe na rangi gani as long unaishi huku akili zinafikiria kichovu sanaNchi za Afrika tungejitalbua kama Bukinafaso na Senegal leo wazungu wangeishi kama mashetani na machokoraa humu duniani .
Huna habari wewe.Hao wanaoiba ni wahamiaji waafrika.siyo wazungu
Nani kakupa wewe uhalali wa kusema kauli gani ni pole na ipi si pole? Pole kwa kigezo gani? Unajuaje ni poke na si shirikishi tu?Tusitoke kwenye mada. Nilisema ulitumia kauli pole sana juu ya hao wazungu
Kabisaa, wametuzidi bongo kidogo sanaaa. Tukiongeza tozo kidogo tu tunawakutaUchumi wa uingereza ni wa kawaida sana
Wanafanya sana ila huwa haitangazwi. Walivyogombana na Russia ndio mambo yamekuwa hadharani kote ( Russia na Ulaya + Marekani).Mkuu,
Hii ni mara ya kwanza kuona wazungu wanafanya fujo?
Wala si kwamba haitangazwi.Wanafanya sana ila huwa haitangazwi. Walivyogombana na Russia ndio mambo yamekuwa hadharani kote ( Russia na Ulaya + Marekani).
Wanakummbi.
Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa tukio hilo limetokea Africa habari zingetangazwa kila kona. Bahati mbaya hata wale watumwa wa Wazungu wanaona kama wazungu wanaonewa.
Inawezekana inatangazwa lakini sio sawa na namna akifanya Mwafrika inatangazwa kwa intensity kubwa mno.Wala si kwamba haitangazwi.
Historia nzima ya dunia ni fujo na uporaji wa wazungu. Kuanzia ubaguzi, utumwa, ukoloni, ubepari mpaka hizi fujo za kupora barabarani.
Watu wangapi mnaosema haitangazwi mmesoma kuhusu Kristallnacht?
Kristallnacht haijatangazwa?