Wazungu waanza kuambiana ukweli

Hujajibu swali nililouliza kuhusu Ufaransa.

Unalianzisha kuhusu Ufaransa halafu ukibanwa unabadilisha topic?
Wewe ukibanwa unapiga block mtu,sasa hapo nani mwenye nafuu kati yako na yeye?

Punguza ujuaji uelimishwe.
 
Waarabu mashoga sana , hata hii mechi ya ufunguz nmewaona wawili ila wamevaa kanz
Mashoga hua mnajuana sio?

Wazazi wako wana hasara kubwa sana,Qatar nchi yao iko mbali sana,endelea kuteseka huku ukitafuna muhogo chini ya mti.
 
Mwanaume akiwa na msimamo anavutia, mashoga wasubiri kombe liishe,wakaoane huko kwao.
Huu upuuzi umesambaa dunia nzima mpaka kuongelewa kiasi hiki?

Ukute na hapa kwenye huu uzi mashoga wapo mtaona comments zao.

Sina shida na pombe ila ushoga hapana
 
hawajapigwa marufuku,

kila nchi ina policies zake pia.

kwa nini Xavi alizuiwa kuingia US ??
 
Halafu ieleweke hawajazuia Pombe,

But wameweka utaratibu maalum wa kunywa pombe ktk maeneo maalum.
 
Kwa nini wanatumia nguvu KUBWA kueneza ushoga?

Hivi hujiulizi watu wote wakiwa mashoga kizazi cha kiumbe binadam kitaendelea kuwepo Duniani?:
JIBU ni Hapana?
Sasa Kwa nini tuwapende na kuwaonea huruma watu wanaotaka kumwanzamiza na binadamu Duniani? Ni wehu tu ndio wanaosapoti harakati za kueneza ushoga na usagaji.

Lakini pia mpira ulianza kuchezwa china Karne nyingi. Tatizo haukua na kanuni maalumu Mwingereza aliuwekea kanuni Baadae ya kuuiba.
 
Kwa nini unafikiria watu wote bilion 8 duniani wanaweza kuwa mashoga na wasagaji ?
Wanaweza mana wamejipenyeza kwenye Sekta muhimu na wanatumia fedha nyingi kuueneza.
Kama ni hulka au ulemavu Wa MTU Kwa Nini watumie nguvu kuueneza? Fuatilia uone Jinsi watoto na Vijana wanavyolawitiana Kwa Kasi KUBWA? Kuna Biashara Gani nyuma ya ushoga?
 
Wewe unaweza kushawishiwa kuwa shoga?
Kwa kupewa mali au fedha?
 
Unamfahamu mtu yeyote aliyeshawishwa kuwa shoga kwa fedha za wazungu?
 
Yeye si Gay
 
nyie si mnasema mpira ni dhambi? tatizo mmejawa na unafiki
Kama QATAR walikubali kuwa wenyeji wa soccer kwa ngazi ya FIFA world cup na soccer ni dhambi kwa mjibu wa imani ya uislam basi waendelee kukubali na dhambi zingine zinazoambatana na soccer vinginevyo naunga mkono waache unafiki
 
Kuna dini halafu kuna utamaduni hvyo ni vitu viwil tofaut ukisema utamadun bc hata kuvaa surual ni utamaduni wa wazungu na utamaduni wa waarabu ni kuvaa kanzu,
swali: sisi tusiovaa kanzu tunavaa surual sio waislam?
Mkuu ni ngumu sana kutenga dini na utamaduni
 
hawajapigwa marufuku,

kila nchi ina policies zake pia.

kwa nini Xavi alizuiwa kuingia US ??
Unajua swagger jacking ni nini?

Yani hata kama gays hawajapigwa marufuku, mtu ambaye si gay kujisema yeye ni kama gay ni kosa.

Wewe unaweza kusema kuwa wewe ni kama gay?

Unaelewa hata point yangu ya swagger jacking ni ipi?
 
Soka kama inavyochezwa leo ni mchezo wa Waingereza.

Na kama hutaki utamaduni wa kigeni ukuingilie, hutaki soka ikuingilie, na Qatar hata kwa kuruhusu soka wanakosea.

Soccer is a global game. Ukitaka ku host World Cup, ni muhimu sana kukubali tamaduni zote kubwa za dunia.

Na kama una matatizo na tamaduni fulani kubwa za dunia, unaweza kubaki na tamaduni zako kwa kukataa ku host World Cup.

Kutaka ku host World Cup na hapo hapo ukatae tamaduni zinazoenea sana duniani ni unrealistic.

Hapo, unatafuta vita tu.

Tumalize hili kwanza kabla ya yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…