Wazungu wamechafukwa, lango la Kilimanjaro na Zanzibar hapa Bole ni kufuru

Etwenge, extrovert & co fools watapinga 😂😂
 
Safi sana aise

Ova
 
Hao wenzetu wana more direct flights to Nairobi kuliko sisi

We are doing very well…. I am sure takwimu zitaongea

But Bole might be a wrong indicator
 
Sijawahi kuwa chawa hata siku moja fuatilia mabandiko yangu utaufahamu msimamo wangu tangu enzi za Mzee wa ukweli na uwazi.
Ni kawaida sana. Kipindi hiki ni wasafiri ni wengi. BTW umefanya research ya siku ngapi?
 
Nyie Bawacha ndio maana Mbowe aliwananga muwe na heshima mitandaoni.. Hivi unafikiri watalii kuongezeka wanaofaidika ni CCM pekee? Acha roho mbaya
UWT akili zenu hazina akili, kipindi hiki ni msimu wa joto Ulaya ndiyo maana wanaita high season lazima watalii waje kwa wingi na ni miaka yote isipokuwa 2020 na 2021 corona
 
Niko KIA mafuriko balaa....hii July na August ni MAVUNO!!!!
 
Yeah hii ni kweli hata source zangu zinasema royal tour inaleta mafuriko
Hata kama ni ujinga lakini hili la kusema hiyo Royal Tour imeongeza watalii ni ujinga uliopitiliza. Tena ni ushamba na ulimbukeni wa hali ya juu sana. Lack of exposure. Hakuna kipya ambacho wazungu watalii walikuwa hawakijui kuhusu ''safari'' kwenye ile filamu. Mnajiingiza kwenye ubishani wa kijinga kabisa.
 
UWT akili zenu hazina akili, kipindi hiki ni msimu wa joto Ulaya ndiyo maana wanaita high season lazima watalii waje kwa wingi na ni miaka yote isipokuwa 2020 na 2021 corona
Ila sehemu za kwenda zipo nyingi sio Tanzania pekee. Au unafikiri huko kwao wanaambia au kuchaguliwa pa kwenda?

Kama wanakuja kwa wingi kwetu ukilinganisha na huko nyuma lazima tufurahie..
 
Mama anaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…