Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Kuhusu nywele mm nakupinga maana ni desturi na mila zetu. Ila naomba unielewe kuwa sitetei huo ushenzi
 
mbona wanawake wanaovaa suruali hamuwazungumzii?
 
mtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.

you always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Kuhusu nywele mm nakupinga maana ni desturi na mila zetu. Ila naomba unielewe kuwa sitetei huo ushenzi
Kusuka naweza kukuelewa kidogo lakini sio kuset wala kuvaa mawigi
 
huwa tunajifanya/mnajifanya kusikitishwa sana na ushoga, ila uasherati walaaa ndo kwanza mnaupigia chepeo.
Ni kwa vile hauhusiani na jinsia mbili zinazofanana BTW ni vema ukaweka maslahi yako kwenye hili tuweze kufahamiana vema
 
Nashukuru sana mkuu mshana jr kwa kuweka uzi humu jamvini hakika mwanaume yeyote ambae amezaliwa kwenye maadili angepata nafasi mwanaume mwenzako akiomba umgegede nafikiri siku ingeharibika sana..kiukweli kesho yake nilikosa raha kila nikiwaza jamaa alivyokomalia akitaka nimgegede..uzuri mshana jr alitumia busara kunifata PM nikamtumia na picha za mshikaji akinionyesha mali ya nyuma na mikao yote..wenye tabia hizo badilikeni aisee
 
Izo mboga mbona fresh tuu.....Mara moja moja uzitatua tu..si kataka mwenyewe
 
Pole sana ndugu yangu japo nilichelewa kidogo kuweka huu uzi....naomba mamlaka zinazohusika zisije kuufuta huu uzi ili tuweze kuujadili kwa mapana yake
 
Ifike kipindi tuache kulaumu wazungu , tujilaumu sisi Kwa kushindwa kukataa ...!
Ukiangalia katika picha pana utajua ni kwanini nawatupia lawama wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…