Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Na wanawake wapigwe ban kufanya kazi ya kuuza K**..Iwe haki kwa wote wauza K** na 0717..
 
Sawa ni haki ya mtu kupenda, sasa je mtu akipenda akupumulie wewe? Utakubali maana ukikataa tayari utakuwa umemnyima haki mwenzako

Hii ni mantiki nyepesi sana.

Suala la kupendana ni la hiari na si shurti.

Kwa hiyo ishu hapo linahusisha pande mbili zilizoridhiana.

Kama watu wawili wameridhia wawe wapenzi, wewe yanakuhusu nini?

Huna wako?
 
Huna hoja.

Umechemka.

Rudi tu kwenye mambo yako ya kichawi chawi.

Au na huko huwa unawalaumu wazungu?

Junya kweli wewe.
 
Nimekuelewa mkuu.
 
Huna hoja.

Umechemka.

Rudi tu kwenye mambo yako ya kichawi chawi.

Au na huko huwa unawalaumu wazungu?

Junya kweli wewe.
Hahhahahaaaa caught in action! Why so much reaction!hoja inajibiwa kwa hoja sio vijembe na kejeli haya tuwaachie kina asha ndalandefu
 
Afu wew utakuwa Mdau wa Mombasa si bure-Wacha ki swanglish
 
Hahhahahaaaa caught in action! Why so much reaction!hoja inajibiwa kwa hoja sio vijembe na kejeli haya tuwaachie kina asha ndalandefu

There you go!

You are really in your element when it comes to imagining things.
 
There you go!

You are really in your element when it comes to imagining things.
At least sasa umeacha yale maneno ya kipuuzi...hii ni social media hakuna haja ya vijembe na kejeli na kuleta u much know! Tunatofautiana mitazamo na si lazima mtazamo wangu wewe uukubali au niukubali wa kwako! Tubishane kwa hoja na ukiona ni upuuzi unapotezea kwakuwa forum sio moja tu
 
Mimi nashangaa, mtu amekufuata kukutongoza PM. Umashindwa tu kumjibu aisee mm Nina mke/Mme au mchumba au am not gay na mkamaliza huko hadi uje ututangazie kuwa umetongozwa? Na dada zetu pia basi waweke threads kilA wanapotongozwa.
 
Teh teh teh...sidhani hata umeelewa nilichokiandika hapo.
 
teh teh inabidi nicheke tu.
hamuelewi mnaloliongea.
Hebu tufungue macho, type uzoefu wako katika hili mkuu, unaonyesha una kitu cha kusema juu ya hii tabia ya homosexual
 
Pole mkuu, inawezekana unalazimisha samaki atembee nchi kavu
 
Teh teh teh...sidhani hata umeelewa nilichokiandika hapo.
Usijali kuhusu hilo....!lielewe wewe kwa mtazamo wako kwakuwa aliyeandika ni wewe! Na mimi acha nihangaike na tafsiri yangu kwa uelewa Wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…