Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Hahahaa...kaazi kweli kweli.

I mean, watu wanafanya ushoga kwa hiari yao halafu wa kulaumiwa wanakuwa wazungu.

Halafu, mtu kama kaamua kwa hiari yake kuwa shoga....kwa nini wengine wahemuke?

Wanawaonea wivu hao mashoga au? Wanatamani wao ndo wangekuwa wanaliwa tigo?

Sioni kwa nini nijishughulishe na mapenzi ya mwingine kuliwa tigo.

Tigo ni yake, maisha ni yake, uamuzi ni wake.

Tatizo liko wapi?
Na wanawake wapigwe ban kufanya kazi ya kuuza K**..Iwe haki kwa wote wauza K** na 0717..
 
Sawa ni haki ya mtu kupenda, sasa je mtu akipenda akupumulie wewe? Utakubali maana ukikataa tayari utakuwa umemnyima haki mwenzako

Hii ni mantiki nyepesi sana.

Suala la kupendana ni la hiari na si shurti.

Kwa hiyo ishu hapo linahusisha pande mbili zilizoridhiana.

Kama watu wawili wameridhia wawe wapenzi, wewe yanakuhusu nini?

Huna wako?
 
Haya kama umemaliza Chapa lapa manake umekuja na spidi 180 mahali pasipohitaji hata spidi 20
Hizi kejeli ni mambo ya kawaida sana kwenye nyuzi kama hizi...ni sawa na kumwambia mtu akalie chuma cha moto bila taarifa always reaction huwa kama yako! Atakuita majina yote mabaya na kukukejeli kadiri awezavyo ila kwakuwa unakuwa tayari ushajua ni kwanini inabaki tu kuenjoy the trending

Huna hoja.

Umechemka.

Rudi tu kwenye mambo yako ya kichawi chawi.

Au na huko huwa unawalaumu wazungu?

Junya kweli wewe.
 
Hii ni mantiki nyepesi sana.

Suala la kupendana ni la hiari na si shurti.

Kwa hiyo ishu hapo linahusisha pande mbili zilizoridhiana.

Kama watu wawili wameridhia wawe wapenzi, wewe yanakuhusu nini?

Huna wako?
Nimekuelewa mkuu.
 
Huna hoja.

Umechemka.

Rudi tu kwenye mambo yako ya kichawi chawi.

Au na huko huwa unawalaumu wazungu?

Junya kweli wewe.
Hahhahahaaaa caught in action! Why so much reaction!hoja inajibiwa kwa hoja sio vijembe na kejeli haya tuwaachie kina asha ndalandefu
 
should flushed out of our society wewe ni nani?
ulikuja na society hapa duniani?
au kuna mtu ulizaliwa nae?
eti our society?
una hati miliki ya society wewe?
au wewe ni chief fulani unaye-control maisha ya watu.
akili kama hizi ndio mana mmeshindwa kuwatoa mafisadi maCCM madarakani.
Afu wew utakuwa Mdau wa Mombasa si bure-Wacha ki swanglish
 
Hahhahahaaaa caught in action! Why so much reaction!hoja inajibiwa kwa hoja sio vijembe na kejeli haya tuwaachie kina asha ndalandefu

There you go!

You are really in your element when it comes to imagining things.
 
There you go!

You are really in your element when it comes to imagining things.
At least sasa umeacha yale maneno ya kipuuzi...hii ni social media hakuna haja ya vijembe na kejeli na kuleta u much know! Tunatofautiana mitazamo na si lazima mtazamo wangu wewe uukubali au niukubali wa kwako! Tubishane kwa hoja na ukiona ni upuuzi unapotezea kwakuwa forum sio moja tu
 
Mimi nashangaa, mtu amekufuata kukutongoza PM. Umashindwa tu kumjibu aisee mm Nina mke/Mme au mchumba au am not gay na mkamaliza huko hadi uje ututangazie kuwa umetongozwa? Na dada zetu pia basi waweke threads kilA wanapotongozwa.
 
At least sasa umeacha yale maneno ya kipuuzi...hii ni social media hakuna haja ya vijembe na kejeli na kuleta u much know! Tunatofautiana mitazamo na si lazima mtazamo wangu wewe uukubali au niukubali wa kwako! Tubishane kwa hoja na ukiona ni upuuzi unapotezea kwakuwa forum sio moja tu

Teh teh teh...sidhani hata umeelewa nilichokiandika hapo.
 
7caa09a35b7b796a02948b4dc9b6ef84.jpg

Laana kubwa hii!!!
Mungu wangu.
 
At least sasa umeacha yale maneno ya kipuuzi...hii ni social media hakuna haja ya vijembe na kejeli na kuleta u much know! Tunatofautiana mitazamo na si lazima mtazamo wangu wewe uukubali au niukubali wa kwako! Tubishane kwa hoja na ukiona ni upuuzi unapotezea kwakuwa forum sio moja tu
Pole mkuu, inawezekana unalazimisha samaki atembee nchi kavu
 
Teh teh teh...sidhani hata umeelewa nilichokiandika hapo.
Usijali kuhusu hilo....!lielewe wewe kwa mtazamo wako kwakuwa aliyeandika ni wewe! Na mimi acha nihangaike na tafsiri yangu kwa uelewa Wangu
 
Back
Top Bottom