Smokey D
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,632
- 2,108
Na wanawake wapigwe ban kufanya kazi ya kuuza K**..Iwe haki kwa wote wauza K** na 0717..Hahahaa...kaazi kweli kweli.
I mean, watu wanafanya ushoga kwa hiari yao halafu wa kulaumiwa wanakuwa wazungu.
Halafu, mtu kama kaamua kwa hiari yake kuwa shoga....kwa nini wengine wahemuke?
Wanawaonea wivu hao mashoga au? Wanatamani wao ndo wangekuwa wanaliwa tigo?
Sioni kwa nini nijishughulishe na mapenzi ya mwingine kuliwa tigo.
Tigo ni yake, maisha ni yake, uamuzi ni wake.
Tatizo liko wapi?