Msuya Jr.
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 1,691
- 899
Hapo kidogo naunga mkono ya kuwa kuna wale wanazaliwa na tabia za kike or kiume like tom boys, mostly hawawi mashoga au wasagaji, hii ya ushoga unakuta ni dume rijali kabisa ila sababu cjui ya pessa ama nini basi anakuwa chakula.. Loo [emoji87]sasa nyie viumbe mnaelewa hata mnaloongea kweli?? hao transgender wanazaliwa wako hivyo wana tabia za kike, wengie mpaka wanaota matiti na hips.... mnapowalaumu siwatofautishi na wazungu wanapoichukia ngozi nyeusi!!! hao sio mashoga ni transgender na transgender sio lazima awe shoga!!! mashoga na mabasha mnaishi nao huko majumbani na hamtawajua ng'oooo!! mtabaki kung'ang'ana na transgenders ambao kimsingi hawakupenda wawe vile.