INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,259
Hivi mnajua Tanzania tumeshakubali ushoga??serikali imeridhia ushoga!!wikimbili zilizo pita global fund walikuwa nakongamano hapo Dar jina la hotel nimesahau ila very soon nta kuja npost ya yaliyo jiri katika kongamano hilo lililo husisha vijana wetu kuanzia miaka 18 nawadau mbalimbali wa maswala ya ukimwi na issue kuu ilikuwa kujadiri ushoga na maswala ya HIV pia kuna testimony zilitolewa na kijana wetu shoga!!pia jhpiego nawana mradi wa kuwahudumia mashoga na kufanya study ya hali ya ushoga hapa kwetu imeteuwa mikoa ya njombe,dar,shinyanga,Kilimanjaro very soon ntaleta hiyo post!!pia ngos za ukimwi hapa home pia zimepewa conditions na hawa donor kuongeza gays relationship jutambulika katika makundi maalum ya wanao hitaji Huduma ikiwa pamoja na watoto na kinamama!!