Wazungu wamewezaje kuwa wazalendo kwa nchi zao kuliko ilivyo kwa Waafrika wengi kwa mataifa yao!

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka!

Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla!

Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati kuna Waafrika wao wapo tayari kuzitesa nchi zao na hata kuwaua wenzao kwa ajili ya maslahi yao binafsi!

Nilisikia, ya kwamba kule Marekani, mtu akimkuta raia akiharibu miundombinu kama barabara, anaweza akampiga risasi na asishtakiwe badala yake akapongezwa. Lakini kwa baadhi ya nchi za Afrika, mtu anaweza akang'oa vibao vya barabarani Mchana akaenda kuuza kama chuma chakavu na asiulizwe na mtu yeyote. Ole wako sasa kama unamfahamu na ukaenda kutoa taarifa panapohusika. Akija kukamatwa, ukoo mzima unaweza ukakusakama kuwa umemchomesha mwenzako.

Lakini hali ni tofauti sana kwa Wazungu! Nini siri ya mafanikio yao?
 
Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati kuna Waafrika wao wapo tayari kuzitesa nchi zao na hata kuwaua wenzao kwa ajili ya maslahi yao binafsi!
Sababu kubwa AFRICA ni UMASIKINI, UJINGA NA MARADHI.

Binadamu yoyote anayepambana na hayo mambo matatu MARADHI, UMASIKINI na UJINGA. Huyu ni rahisi kufanya jambo lolote ili apate Fedha. USIMUAMINI Binadamu mwenye haya matatizo, anakusaliti muda na wakati wowote.

Mf, Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu, kila kinyozi anajifunzia kunyoa.
 
Mgambo alimkamata jamaa anakojoa pembezoni mwa barabara pale Tabora bus stand akamburuta hadi kituoni kwa askari polisi, jamaa akatozwa faini 50,000/=. Akalazimika kuwapigia ndugu zake wakajichanga wakamtumia hela akalipa.

Wakati anatoka kituoni akamwambia yule mgambo, "kwa kitendo ulichonifanyia nakupa siku 16 tu za kuishi hapa Duniani" ,akaondoka zake.

Nilimpigia simu wakala wa mabus pale stand ya Tabora kumuuliza nini kilimtokea yule mgambo baada ya zile siku 16 alizokuwa ameahidiwa na yule kikojozi ovyo. Nikaambiwa siku ya 16 ilipotimu yule mgambo aliugua kichwa cha ghafla sana, kumpeleka hospital madaktari wakasema mbona mtu mwenyewe ameshakata pumzi. Wakaenda kumzika.

Waafrika tuna baadhi ya mambo tumeyakumbatia (nadhani imo ndani ya DNA) ambayo yanaturudisha nyuma mno! Kwa mfano ; mtu anapanda bus zuri sana kuelekwa mkoani halafu kwa makusudi anaamua kung'oa system charge 🤔🤔🤔🤔🤔, au anachukua marker pen anaandika (chatta) , vinajengwa vyoo vya kisasa sana stand halafu mtu mzima na akili zake anakwenda kutumbukiza jiwe au gunzi la mhindi , au unakuta maandishi yaliyoandikwa kwa kinyesi ukutani 😳😳😳. Watu wanang'oa viti uwanjani!!!???? Viti vinahusianaje na shangwe au huzuni???!!!

Waafrika tuko na shida kubwa sana kwenye bongo zetu
 
Shule moja nchini ilipatiwa school bus iliyokuwa ikitumiwa kubeba wanafunzi kule nchini Japan. Muda mfupi baada ya kuanza kutumika kubeba watoto wa Kitanzania, viti vilichakazwa kwa maandishi na matundu ya kalamu, n.k.

Siku moja kiongozi wa hiyo shule akawauliza wanafunzi wake, kuwa inakuwaje basi waliloletewa limechakaa muda mfupi baada ya kuanza kutumiwa na wao wakati lilipokuwa likiletwa lilikuwa bado "jipya" ingawa lilishatumika miaka mingi kubeba wanafunzi wa shule iliyopo Japan?

Mtoto mmoja alipopewa nafasi ya kujibu alisema kuwa ni kwa sababu Wajapan ni wastaarabu!
 
Waafrika Kuna pahala fuse zetu hazipo sawasawa. Mtu anaweza kuacha kufungua mlango wa choo halafu anasimama nje ya choo analimwaga kojo mchana kweupe. Sijui tuna shida gani, vitu vizuri tunaviharibu kwa makusudi.

Ndani ya bus Kuna dustbin lakini mtu anamaliza kunywa juice kisha kopo analitupa nje ya bus kupitia dirishani 🤔🤔
 
Mgambo alimkamata jamaa anakojoa pembezoni mwa barabara pale Tabora bus stand akamburuta hadi kituoni kwa askari polisi, jamaa akatozwa faini 50,000/=. Akalazimika kuwapigia ndugu zake wakajichanga wakamtumia hela akalipa.

Wakati anatoka kituoni akamwambia yule mgambo, "kwa kitendo ulichonifanyia nakupa siku 16 tu za kuishi hapa Duniani" ,akaondoka zake.

Nilimpigia simu wakala wa mabus pale stand ya Tabora kumuuliza nini kilimtokea yule mgambo baada ya zile siku 16 alizokuwa ameahidiwa na yule kikojozi ovyo. Nikaambiwa siku ya 16 ilipotimu yule mgambo aliugua kichwa cha ghafla sana, kumpeleka hospital madaktari wakasema mbona mtu mwenyewe ameshakata pumzi. Wakaenda kumzika.

Waafrika tuna baadhi ya mambo tumeyakumbatia (nadhani imo ndani ya DNA) ambayo yanaturudisha nyuma mno! Kwa mfano ; mtu anapanda bus zuri sana kuelekwa mkoani halafu kwa makusudi anaamua kung'oa system charge 🤔🤔🤔🤔🤔, au anachukua marker pen anaandika (chatta) , vinajengwa vyoo vya kisasa sana stand halafu mtu mzima na akili zake anakwenda kutumbukiza jiwe au gunzi la mhindi , au unakuta maandishi yaliyoandikwa kwa kinyesi ukutani 😳😳😳. Watu wanang'oa viti uwanjani!!!???? Viti vinahusianaje na shangwe au huzuni???!!!

Waafrika tuko na shida kubwa sana kwenye bongo zetu
Duh nimecheka sana

Mwaafrika na mchawi ni mtu anaona akifanya kosa ana paswa kutetewa
 
Waafrika Kuna pahala fuse zetu hazipo sawasawa. Mtu anaweza kuacha kufungua mlango wa choo halafu anasimama nje ya choo analimwaga kojo mchana kweupe. Sijui tuna shida gani, vitu vizuri tunaviharibu kwa makusudi.

Ndani ya bus Kuna dustbin lakini mtu anamaliza kunywa juice kisha kopo analitupa nje ya bus kupitia dirishani 🤔🤔
Mtoto umleavyo....MALEZI
 
huwa naandika kila siku hapa,....
Mwalimu wetu alienda ulaya kisha china,... aliporudi alituambia ni either sisi au wazungu, mmojawapo sio binadamu KABISA,....

Wa kuwalaumu ni Wazungu, maana walivikuta viumbe bado vipo kwenye evolution, wao wakaviita hivyo viumbe WAAFRICA...
 
Kuna tofauti kubwa sana ya kufikiri na kutenda kati ya mwafrika na jamii zingine za binadamu.Kwakifupi sisi ni wajinga.
 
Fikiria hata walivokuja kututawala, kile kitendo hakikua kwa ajili ya maslahi ya kizazi chao, ilikua kwa kizazi kinacho Fata. Wanaiba nje na kupeleka kwao, huku tuliweza kuuza watumwa wenye nguvu kwa maslahi ya wageni, sasa hvi tunaiba pesa kwenye nchi zetu, tunakwenda kuficha kwao. Ikitokea bahati mbaya una kesi na mtu wa race nyingine mtu mweusi na hakimu akawa mzawa mwenzako and may be huyo wa race nyingine ndio ana makosa, hakimu atampendelea huyo wa race nyingine kuliko wewe wa rangi yake. Tazama sakata la DP World, waislamu Tanzania kwa umoja wao, waliona mwarabu apewe tu kwasababu eti ni muislamu mwenzao, anyang'anywe TICKS ya Mtanzania/mweusi mwenzao but guess what? Yule wa Ticks nae ni muislamu mwenzao, so issue sio dini, issue ni uzalendo, blacks wengi wetu sio wazalendo kwao na kwa nchi zetu.
 
Back
Top Bottom