GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka!
Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla!
Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati kuna Waafrika wao wapo tayari kuzitesa nchi zao na hata kuwaua wenzao kwa ajili ya maslahi yao binafsi!
Nilisikia, ya kwamba kule Marekani, mtu akimkuta raia akiharibu miundombinu kama barabara, anaweza akampiga risasi na asishtakiwe badala yake akapongezwa. Lakini kwa baadhi ya nchi za Afrika, mtu anaweza akang'oa vibao vya barabarani Mchana akaenda kuuza kama chuma chakavu na asiulizwe na mtu yeyote. Ole wako sasa kama unamfahamu na ukaenda kutoa taarifa panapohusika. Akija kukamatwa, ukoo mzima unaweza ukakusakama kuwa umemchomesha mwenzako.
Lakini hali ni tofauti sana kwa Wazungu! Nini siri ya mafanikio yao?