Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

Sasa unajuaje Jobs si Mzungu?

Mleta mada kafikiri Jobs ni Mzungu mpaka kamuweka kwenye list ya Wazungu.

Ndipo hapo nakuuliza, unatumia kigezo gani kusema huyu Mzungu na huyu si Mzungu?

Hujajibu kitu cha kueleweka mpaka sasa unarukaruka tu kudai utajua tu.

Utajuaje? Unatumia kigezo gani kujua?
 
No 5... jiwe
 
Una kichwa kigumu sana,sasa sijui ni kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri au nilicho kiandika ni kipya kwako.

Hakuna mtu mwenye akili timamu atakaye soma nilicho kiandika akasema nilicho kiandika hakieleweki. Ziada nikaweka na mfano.

Nimekwambia sijui maana ya tamko Mzungu ila nikimuona Mzungu nakwambia huyu Mzungu,kama ilivyo kwenye maji,sijui maana ya tamko Maji,ila nikiyaona maji nakwambia haya maji.

Nilikukanya huko juu,kwamba uulize vya maana tena hasa baada ya kujibiwa maswali yako kwa ufasaha. Hapa unaye ruka ni wewe,yaani umejibiwa lakini unauliza ulicho jibiwa,unatakiwa uwe unasoma hoja ya mtu kisha unatafakari wewe hili huna.

Nini kinafata sasa,nataka ujibu maswali niliyo kuuliza huko nyuma.

Nipo .....
 
Sio kweli tatizo ni Mazingira kuna waafrica Wengi wamegundua vitu wakiwa nchi za Nje ila wakaporwa kwa sababu sio raia wa nchi hizo kwa hio hawana hati miliki, Na kwa Africa ukivumbua kitu Serikali za Africa zinakufunga,kukufilisi au wanakuua, Na majirani,ndugu na marafiki wanakuloga
 
Kama nani
 
Wazungu wajanja wametuwekea Elim ambayo haito tusaidia kitu waafrica ili kutumakiza sababu mtu Hua anasoma akitegenea Elim ndio itamraisishia maisha na kutumia muda mwingi na siku anayo Kuja kuitim anakua ni msomi mwenye kutegemea watu sio msomi mwenye kutegemea
 
Kama ni hivyo kwanini hamuachani na hiyo elimu yao isiyo na msaada muanze kutumia ya kwenu yenye msaada?

Au mitaala yenu yote wazungu waliiba wakatekeza asipatikane hata mwafrika mmoja wa kuikumbuka? [emoji23][emoji23]
 
Kama ni hivyo kwanini hamuachani na hiyo elimu yao isiyo na msaada muanze kutumia ya kwenu yenye msaada?

Au mitaala yenu yote wazungu waliiba wakatekeza asipatikane hata mwafrika mmoja wa kuikumbuka? [emoji23][emoji23]
Hapo hata kifaa anachotumu kimetoka ka mzungu afu bado najiona mjanja si atengeneze chake😁
 
Hujaeleza ukimuona mtu utajuaje ni Mzungu.Utatumia kigezo gani?

Tushaona kuna mtu (mleta mada katika original post) kamuweka Steve Jobs kundi la wazungu, kwa kutojua kwamba Steve Jobs ana asili ya Syria, si Mzungu.

Sasa na wewe ukimuona mtu utajuaje huyu ni Mzungu, si mtu wa Syria?

Hujajibu swali hili.
 
Akili yako sikui inafikiria nini,hujaona nilipotoa mfano wa maji,sijui maana ya maji ila nikiyaona nakwambia haya maji,ndivyo vivyo ilivyo kwa mzungu. Hili swali nalijibu mara ya nne au tano sasa.

Nasubiri majibu ya maswali niliyo kuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…