Ngopyoro city
Senior Member
- Aug 28, 2020
- 144
- 220
Usinge mjibu mkuu huyu anafanya maksudi kila kitu analeta ubishi dawa ni kukaushia tuNgoja nikujibu vizuri maana kuna mdau analalamika kwamba wewe ni mbishi sana.
Mzungu ni mtu au watu waliosambaza dini ya ukristo sehemu mbalimbali Duniani japo kuna sehemu walikwama kama China, India nk
Islael ndo taifa ambalo Mzungu ametokea kiuasilia kabisa.
Sasa unaweza kuuliza maswali mengine kama unayo!
Kupitia mzazi wake ile connection.Jidanganye, mtoto mdogo anapologeka ni uchawi gani huyo mtoto anaamini?
Kama mtu haamini uchawi, halogeki. Ndivyo unavyoamini, hayo masuala ya mzazi yametoka wapi?Kupitia mzazi wake ile connection.
Umeme haupenyi kwenye plastic ni lzm asili ya chuma iwepo.
Mkuu uko Too emotional mpaka ulichoandika kimegeuka fallacy considering ni opinion na sio fact.Dogo ebu kafanyie hiyo biashara yako uswahilini ama vijijini huko uje na mrejesho.
Yani we unatukana kabisa na kusema wanaoamini uchawi ni wajinga? Dogo unapotea alafu watu kama nyie mkiingia 18 za wachawi hamchomokagi kirahisi.
Na unajua nini? Mchawi huwa anapenda wajinga kama wewe wasioamini uchawi upo, ili anapokupiga usigundue.
Sawa, hakuna uchawi.Mkuu uko Too emotional mpaka ulichoandika kimegeuka fallacy considering ni opinion na sio fact.
Leta facts na sio opinions hizo story za vijiweni ili kutishana peleka kwa watoto wenye 5yrs duniani.
Now Prove uwepo wa uchawi...?
I can prove hakuna uchawi.
Why umesema uswailini na vijijini na sio sehemu nyingine?Dogo ebu kafanyie hiyo biashara yako uswahilini ama vijijini huko uje na mrejesho
Mkuu ukweli siku zote unauma.Yani we unatukana kabisa na kusema wanaoamini uchawi ni wajinga? Dogo unapotea alafu watu kama nyie mkiingia 18 za wachawi hamchomokagi kirahisi.
Uko sahihi mwaka wa 16 huu duniani bado sijagundua chochote.Na unajua nini? Mchawi huwa anapenda wajinga kama wewe wasioamini uchawi upo, ili anapokupiga usigundue.
Dogo Nina kazi nyingi sio kubishana humu.Why umesema uswailini na vijijini na sio sehemu nyingine?
Na ukiangalia kwa makini hizo sehemu wanaishi jamii masikini.
Ina maana unamaaisha uchawi hauapply kwa matajiri na sehemu zilizoendelea?
Umejicontradict mwenyewe.
Now nijibu hayo maswali au kutokujibu nahitimisha ulichoandika ni fallacy, fantasy na opinions hivyo hujui ulichoandika
Tanzania nzima karibu asilimia 70 ni masikini ambao wanaishi vijijini na mijini ambako ndio uswahilini sasa sijui unazungumzia kufanya hiyo biashara wapi labda marekani.
Sio vizuri kuweka mambo private hapa ila familia yangu imekuwa ikifanya biashara Tanzania kwa almost 40 years na hakuna siku wamekwenda kwa mganga wala hakuna anayezungumzia uchawi.
And believe me biashara zinazidi kusimama sababu tuna elimu ya biashara.
Hivyo najua na kuelewa ninachokiandika sijakurupuka.
So ulichoandika ni hundred percent nonsense na ni uwongo pia ni fallacy na opinions hivyo in infinity years haziwezi kuwa facts.
Mkuu ukweli siku zote unauma.
Na nilichoandika ni ukweli na ndo maana mwishoni nimemalizia na neno Fact.
Mimi sijamtukana mtu au onyesha wapi nimekutukana wewe.
Au utazidi kuprove kwamba ulichoandika ni nonsense.
Uko sahihi mwaka wa 16 huu duniani bado sijagundua chochote.
Kama wanakuroga then hugundui kama wamekuroga sasa kwanini au kuna faida gani ya kukuroga?
Hapo tayari umejicontradict.
Na hiyo ni proof tosha hakuna uchawi na ulichoandika ni full of nonsense.
Now jibu hayo maswali.
Usilete story na emotions kwenye mada.Sawa, hakuna uchawi.
Unazungumzia story za vijiweni, na hufaham lifestyle yangu.
Zunguka dunia Dogo, we bado mtoto...
Hata habari ya yule Mama aliyejifungua kuku haijakuelimisha, inaonekana.
HAYO MAUZA UZA PELEKA KIJIWENI MKADANGANYANE UCHAWI UPO DUNIA NZIMA TOKA ENZI YA NABII MUSA NA MUHAMMAD NYIE MMETOKA WAPI NA MBWEMBWE ZENU REJEA MATUKIO YA AJALI NK UTAJUA KUNA KITU AU HAKUNABiashara zao ni ubora wa bidhaa na huduma. Tz biashara haziendi kwa kuwa umasikini umezidi, watu hawana pesa za kutumia. Nchi zilizoendelea kuna ajira na kupelekea watu wengi kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi, hivyo biashara zinashamiri.
CONCRETE EVINCE YA UJINGA WAKO KAMUULIZE YULE MAMA ALIYEZAA KUKU JE ALILALWA NA KUKU AU ILIKUWAJE AZAE KUKU? POINT ZINGINE NI ZA KIPUMBAVU MSIWE MLETA HUKU KAMA HUNA LA KUSEMA KAA KIMYA .Usilete story na emotions kwenye mada.
Nijibu
Unaweza kuprove uwepo wa uchawi?
Ukitaka kujua mtu aliyekurupuka au asiyejua anachokiongelea ni kumuuliza maswali then ashindwe kujibu.
Kushindwa kujibu maswali yangu ni proof tosha hujui ulichoandika au huwezi kujibu opinions as facts sababu zimeegemea perspective.
Hivyo unaleta emotions na self defense ili kufifisha mada.
Jibu hayo maswali.
Pia mimi jf hatuitani dogo sababu hatujuani.
Dogo mpaka sasa 80% nahisi we ni MCHAWI, maana mtu huumia pale anapoambiwa ukweli.Usilete story na emotions kwenye mada.
Nijibu
Unaweza kuprove uwepo wa uchawi?
Ukitaka kujua mtu aliyekurupuka au asiyejua anachokiongelea ni kumuuliza maswali then ashindwe kujibu.
Kushindwa kujibu maswali yangu ni proof tosha hujui ulichoandika au huwezi kujibu opinions as facts sababu zimeegemea perspective.
Hivyo unaleta emotions na self defense ili kufifisha mada.
Jibu hayo maswali.
Pia mimi jf hatuitani dogo sababu hatujuani.
Who cares bytheway?Dogo Nina kazi nyingi sio kubishana humu.
Still unaleta emotions na excuses za kitoto.Dogo Nina kazi nyingi sio kubishana humu.
Unaweza kueleza kwa hiyo unayodai elimu yako Binadamu-Mwanamke anawezaje kuzaa kuku?
Wakati mwingine jifunze kukaa kimya Kama huna uhakika!
Unadai biashara za familia, we unajua misingi ya hizo biashara?
Ukipata muda nenda tu hata Mgodi wa Mirerani kakae hata mwezi mmoja ujue dunia.
Hahah nilijua lazima ufike huku si unaona wewe mwenyewe ulichoandika?Dogo mpaka sasa 80% nahisi we ni MCHAWI, maana mtu huumia pale anapoambiwa ukweli.
And I think utaendelea kuniattack personally instead ya kutumia hoja na facts.Dogo mpaka sasa 80% nahisi we ni MCHAWI, maana mtu huumia pale anapoambiwa ukweli
You are still a teenager...Subiri ukue ndo utaelewa...
Hiyo sasa kaliYaani wazungu wachawi balaa nakumbuka Kaka yangu mpendwa alikuwa narafiki yake mkongo miaka ya 1998 huko wanauza vinyago vilivyotumika katika uchawi naushirikina bei ilikuwa nzuri na moja katika biashara iliyompelekea Kaka kuanza kutajirika ni hii.
Wananunua vinyamkera vinyago kwa waganga, wazee wa jadi na kwengineko na kuwauzia wazungu kutoka Ufaransa na hao wazungu walivyokuwa nyoko ukienda kuchonga kinyago kipya au kinunua hakija tumika katika mambo ya ushirikina au mambo ya jadi hawanunui.
Wazungu wachawi kwenye kila sekta usikute wanatupita hata sisi wa Afrika.
Mwengine ni wewe mkuu.Hyo teenager umempendelea, huyu bado ako stage ya infant, hakuna anachojua duniani , anaropoka upuuzi tu.
And i think utaendelea kuniattack personally instead ya kutumia hoja na facts ili kunipinga.Hyo teenager umempendelea, huyu bado ako stage ya infant, hakuna anachojua duniani , anaropoka upuuzi tu
To be honest you're too emotional.CONCRETE EVINCE YA UJINGA WAKO KAMUULIZE YULE MAMA ALIYEZAA KUKU JE ALILALWA NA KUKU AU ILIKUWAJE AZAE KUKU? POINT ZINGINE NI ZA KIPUMBAVU MSIWE MLETA HUKU KAMA HUNA LA KUSEMA KAA KIMYA .
Duh!hatari JF ina vituko sana.Ngoja nikupuuze tu maana umehama mada alafu umeanza matusi huenda reasoning capacity yako ipo chini ya kiwango.
Bye.
Ikiwa bado kuna matatizo yenye kusababishwa na uchawi basi lazima imani za kichawi ziwepo.Hua nachukia Sana kuona mtu anaamini Mambo ya uchawi Karne hii ,, poor africans