Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Ni large scale mkuu, small scale ni huku Africa.
 
Inawezekana walipoleta dini kuna "chenji kota" tulipigwa

Aliyeitwa shetani ndiye Mungu na Mungu wakamwita shetani

Haimithiliki shetani awe msaada kuliko Mungu
Mungu hutupa sisi wanadamu wenye subira bureeee kabisa lakini shetani hana cha mambo ya bure kabisa yeye atakupa kwa haraka sana lakini utalipia kwa njia anayoijua yeye
 
Wanaosema hakuna uchawi either ndio wachawi wenyewe ama kalogwa hata hajitambui maana akijitambua atafunguka. Uchawi upo hata biblia imeandika.
 
Mchawi ni nani?

Jibu kinagaubaga...usilete story za Alfu lela Ulela

Karibu,
 
Tuna safari ndefu sana

Karne hii ya 21 bado kuna watu wanamitazamo kama hii?
usitudanganye. Mwongo weye!
Uchawi upo mfano mzuri ni mimi hapa Tena nilikuwa mchawi kufuru. Hapa Kuna mambo 3. Km hivi...

1. Km unasema hivo
Wewe huna mvuto ktk ulimwengu wa wachawi Utaamini haupo. so uko sahihi.

2.km unaamini haupo basi na Mungu hayupo! Biblia inajua na imetaja uchawi. ... Pia

3.Wachawi ni wanafiki sana kwa asili km unavojifanya. Inawezekana pia unakula nyama za watu.tangu utotoni
Sifa kubwa za sisi wachawi ni unafiki tu baasi.sasa unawapotezea watu humu jf. Tuliyoyafanya enzi za uchawi mpaka leo yanaonekana.
 
Thibitisha uchawi upo
 
Mkuu umesema kweli, ndio sababu niliishia kumwambia Teenager kwamba huenda yeye ni mchawi ndo sababu anapinga Kama uchawi upo.
 
Utakuta haka kanakoandika hapa Ni ka graduate kametenga matako kwenye Kochi la familia halafu kanajikuta kanaijua dunia kiask Cha ku-conclude HAKUNA UCHAWI.

AJIONAE ANAJUA KUMBE HAJUI LOLOTE
Baelezee Baba mkuru vijinga sana hivi. Vitoto vimegraduate kwa. gia za kupepea sana halafu vinabisha eti prove! Prove? Km kuna uchawi!
 
Unauelewaje uchawi kwanza? maana isije ukawa unataka uthibitishiwe kitu ambacho hata haukielewi
mtu anayedai uthibitisho dhidi ya jambo fulani nia yake apate kueleweshwa kutoka kwa mtu anayedai kitu hicho kipo

kulingana na namna ambavyo utathibitisha ndivyo nitakapopata concept ya kuuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…