Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Define uthibitisho.Thihitisha Kama Mtume Paulo alisambaza ukrieto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Define uthibitisho.Thihitisha Kama Mtume Paulo alisambaza ukrieto
Ni large scale mkuu, small scale ni huku Africa.Habari zenu wakuu.
Moja kwa moja naomba niende moja moja kwenye mada.
Naomba kuuliza hivi wazungu nao urogani katika small scale yani man to man? Diasporas naomba mtusaidie hili.
Habari zao za Ushirikiana tunazozile kubwa kubwa kama Freemason, Blue Order nk.
Maana kinachoonekana nikuwa wazungu wanatu-feed habari njema tu kuhusu wao:
Mara.....
[emoji831] Wamekuja na technologia mpya
[emoji831] Mara ooh watugawia misaada mbali mbali
[emoji831] And blah blah blah
Labda ilikuwa typing error akiwa na maana ya New Order.Blue order ndo nini??
Mungu hutupa sisi wanadamu wenye subira bureeee kabisa lakini shetani hana cha mambo ya bure kabisa yeye atakupa kwa haraka sana lakini utalipia kwa njia anayoijua yeyeInawezekana walipoleta dini kuna "chenji kota" tulipigwa
Aliyeitwa shetani ndiye Mungu na Mungu wakamwita shetani
Haimithiliki shetani awe msaada kuliko Mungu
Wanaosema hakuna uchawi either ndio wachawi wenyewe ama kalogwa hata hajitambui maana akijitambua atafunguka. Uchawi upo hata biblia imeandika.Wanachokifanya hawa watu ni kujiaminisha kuwa hakuna uchawi,hilo tukio naona kila ukimuuliza analikwepa kulijadili. Hata mie nashangaa maana watu tumeshuhudia matukio mengi ya kichawi na wengine tulikuwa tunapoteza ndugu zetu yani kila mwaka anaangushwa mtu hadi tipokuja kushtukia halafu anakuja mtu anakwambia hakuna uchawi hadi unajiuliza huyu mtu anaishi sayari gani?
Nina rafiki yangu alikuwa kafungwa asifanye jambo lolote la mafanikio kwake,yani akipata kazi anapandisha majini kazini full fujo akirudishwa home anakuwa sawa ikitokea safari ya kwenda nje majini yanaanza hapo yani hatari.ila sasa kapona fresh.
Unaweza kuthibitisha hili? Tunaomba mifanoWazungu wanaongoza kwa uchawi na wana majini makali sana.
Kwa nini?Haya maelezo yako hayana maana yoyote katika mjadala huu
ndugu yangu dunia ina mengi ya ajabu mwl jk nyerere mwenyewe anahadithi tele basi hekima ni kuyatafakari tu na kuwa mpoleTuna safari ndefu sana
Karne hii ya 21 bado kuna watu wanamitazamo kama hii?
Mchawi ni nani?Dogo ebu kafanyie hiyo biashara yako uswahilini ama vijijini huko uje na mrejesho.
Yani we unatukana kabisa na kusema wanaoamini uchawi ni wajinga? Dogo unapotea alafu watu kama nyie mkiingia 18 za wachawi hamchomokagi kirahisi.
Na unajua nini? Mchawi huwa anapenda wajinga kama wewe wasioamini uchawi upo, ili anapokupiga usigundue.
usitudanganye. Mwongo weye!Tuna safari ndefu sana
Karne hii ya 21 bado kuna watu wanamitazamo kama hii?
Thibitisha uchawi upousitudanganye. Mwongo weye!
Uchawi upo mfano mzuri ni mimi hapa Tena nilikuwa mchawi kufuru. Hapa Kuna mambo 3. Km hivi...
1. Km unasema hivo
Wewe huna mvuto ktk ulimwengu wa wachawi Utaamini haupo. so uko sahihi.
2.km unaamini haupo basi na Mungu hayupo! Biblia inajua na imetaja uchawi. ... Pia
3.Wachawi ni wanafiki sana kwa asili km unavojifanya. Inawezekana pia unakula nyama za watu.tangu utotoni
Sifa kubwa za sisi wachawi ni unafiki tu baasi.sasa unawapotezea watu humu jf. Tuliyoyafanya enzi za uchawi mpaka leo yanaonekana.
Kama wana muda wa kufanya mambo ya kupuuzi na maasi ndio wasiweze kufanya uchawi kisa ni imani chafu?Wazungu hawana muda mchafu wa Imani chafu
Hilo swali muulize mleta mada!Mchawi ni nani?
Jibu kinagaubaga...usilete story za Alfu lela Ulela
Karibu,
Mkuu umesema kweli, ndio sababu niliishia kumwambia Teenager kwamba huenda yeye ni mchawi ndo sababu anapinga Kama uchawi upo.usitudanganye. Mwongo weye!
Uchawi upo mfano mzuri ni mimi hapa Tena nilikuwa mchawi kufuru. Hapa Kuna mambo 3. Km hivi...
1. Km unasema hivo
Wewe huna mvuto ktk ulimwengu wa wachawi Utaamini haupo. so uko sahihi.
2.km unaamini haupo basi na Mungu hayupo! Biblia inajua na imetaja uchawi. ... Pia
3.Wachawi ni wanafiki sana kwa asili km unavojifanya. Inawezekana pia unakula nyama za watu.tangu utotoni
Sifa kubwa za sisi wachawi ni unafiki tu baasi.sasa unawapotezea watu humu jf. Tuliyoyafanya enzi za uchawi mpaka leo yanaonekana.
Baelezee Baba mkuru vijinga sana hivi. Vitoto vimegraduate kwa. gia za kupepea sana halafu vinabisha eti prove! Prove? Km kuna uchawi!Utakuta haka kanakoandika hapa Ni ka graduate kametenga matako kwenye Kochi la familia halafu kanajikuta kanaijua dunia kiask Cha ku-conclude HAKUNA UCHAWI.
AJIONAE ANAJUA KUMBE HAJUI LOLOTE
Rahisi tu. weye hapo ni uthibitisho number moja. Tena. Hujaanza leo wala jana.Thibitisha uchawi upo
Unauelewaje uchawi kwanza? maana isije ukawa unataka uthibitishiwe kitu ambacho hata haukielewiThibitisha uchawi upo
mtu anayedai uthibitisho dhidi ya jambo fulani nia yake apate kueleweshwa kutoka kwa mtu anayedai kitu hicho kipoUnauelewaje uchawi kwanza? maana isije ukawa unataka uthibitishiwe kitu ambacho hata haukielewi
Mambo ya kipuuzi sio uchawi na kila race inafanya, onesha/ Thibitisha/Tukumbushe uchawi waliowahi kuufanya.Kama wana muda wa kufanya mambo ya kupuuzi na maasi ndio wasiweze kufanya uchawi kisa ni imani chafu?