Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dogo alikua na miaka 10 kama sikosei alikua anakita namba anafundisha basic maths. Alichukuliwa na familia ya akina Makamba. Nadhani ukim gooogle unaweza kupata habari zake. Sijui kaishia wapi yule mtoto.Bongo hatuna watoto wenye akili hata wa rare cases wanaoweza kumudu masomo udsm ?
Mkuu calculus hii hii ya dy/dx anafanya mtoto wa miaka mitatu ?Ipo hivi kwa msioelewa.
Kuna watoto wanaozaliwa wakiwa na uwezo wa ajabu (geniuses). Mtoto anaweza kuzaliwa ni genius kwenye Maths, Arts, n.k
So wakigundua mapema wanamuendeleza chap katika kipaji alicho nacho.
Kuna watoto wanazaliwa wanapiga Calculus wakiwa na miaka mitatu tu.
So hizo ni rare cases na ndio maana ni wachache sio kila mtu anaweza. Hao wamezaliwa na uwezo wa juu sana.
Kwa hali ya sasa sijui kama bado wanaendelea kuwamezesha watoto majina ya mawaziri na majina ya vyama vya siasa...........elimu yetu shida sana.....sasa nikae nameza majina ya vyama vya kisiasa tena walimu walikua wanapenda kuweka vile vyama vya ajabu ajabu mara sijui chausta,,,halaf umeze tena majina ya mawaziri hii sijui kama wanaendelea sahivi maana sahivi kila kipindi mkeka mpya,,,,,baadae unakuja kuwaza haya madude yote kwenye maisha ya huyo mwanafunzi yana impact gani.......mara umeweze part za panzi..........................ukija kuingia kitaa inabidi tena uanze kujifunza elimu ya mtaani maana ukijifanya kuzama mtaani na elimu yako ya darasani kufeli ni rahisi labda kama uliendelea kukaa kwny system ukapata ka ajira kdg tena hako kaajira kaendane na uliyomeza tofauti na hapo unaweza kujikuta una cheti la engineer ila life linakutandika unaingia hata kwenye kazi za wana bcomSijui kama nao wanajazaga takataka za "What's the longest river in the World.......! Homohabilis"
Kuna hawa toppers wa MIT na phd za at 22 ageHabari wadau.
Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.
Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.
Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.
Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka miaka 13 ambao wanaweza kusoma degree kwenye vyuo vikuu vyetu kama udsm, mzumbe , udom ama Muhas
Tunakosea wapi ama tuna gundu hatuwezi kuzaa watoto ma Genious Darasani wa kusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari unaochukua miaka mingi kufika chuo kikuu
Mfano wa wahitimu wa vyuo vikuu ni
1. Balamurali Ambati alimaliza degree ya udaktari akiwa na miaka 16 na kufikia miaka 17 akawa daktari tayari anatibu watu.
2. Michael Kearney alihitimu degree ya Geology akiwa na miaka 8 tu.
3. Ruth Lawrence alimaliza degree yake ya Physics Oxford university akiwa na miaka 11 na akaunganisha degree zingine hapo hapo Oxford kufikia miaka 17 akahitimu PHD ya Mathematics hapo hapo Oxford University
4. Sho Yano alihitimu degree yake ya udaktari akiwa na umri wa miaka 12 tu
5 - Juliet Beni. At just 15 years old, she obtained her bachelor’s degree at the University of California, ( chuo kikuu alichosoma proffessor Mkandala wa udsm kinampa nafasi mtoto mdogo asome degree yake mapema )
Mtoa mada nadhani amepata uelewa uyo 13 years hasomi degree Bali anasoma degree Kam daraja (specialize)
Hiyo ni laini sana mkuu. Hujawahi ona usibishe!
Huko majuu mfumo wao sio kama huku kwetu,pale UDSM,na DIT Elimu huwa ni vita kati ya wanafunzi na waalimu,enzi zetu furaha ya waalimu ilikuwa "kukamata"supplementary wanafunzi wengi,au kudai Rushwa ya pesa kutoka kwa wanaume au ngono kutoka kwa wanawake,Habari wadau.
Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.
Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.
Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.
Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka miaka 13 ambao wanaweza kusoma degree kwenye vyuo vikuu vyetu kama udsm, mzumbe , udom ama Muhas
Tunakosea wapi ama tuna gundu hatuwezi kuzaa watoto ma Genious Darasani wa kusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari unaochukua miaka mingi kufika chuo kikuu
Mfano wa wahitimu wa vyuo vikuu ni
1. Balamurali Ambati alimaliza degree ya udaktari akiwa na miaka 16 na kufikia miaka 17 akawa daktari tayari anatibu watu.
2. Michael Kearney alihitimu degree ya Geology akiwa na miaka 8 tu.
3. Ruth Lawrence alimaliza degree yake ya Physics Oxford university akiwa na miaka 11 na akaunganisha degree zingine hapo hapo Oxford kufikia miaka 17 akahitimu PHD ya Mathematics hapo hapo Oxford University
4. Sho Yano alihitimu degree yake ya udaktari akiwa na umri wa miaka 12 tu
5 - Juliet Beni. At just 15 years old, she obtained her bachelor’s degree at the University of California, ( chuo kikuu alichosoma proffessor Mkandala wa udsm kinampa nafasi mtoto mdogo asome degree yake mapema )
Mtoto wa miaka mitatu namjua ,hawezi integrate integrals , mkuu unayajua Yale madude au unayasikia tu?Hiyo ni laini sana mkuu. Hujawahi ona usibishe!
Well ni admit kuwa huo umri naweza kuwa nime exaggerate lakini kuna child prodigies.Mtoto wa miaka mitatu namjua ,hawezi integrate integrals , mkuu unayajua Yale madude au unayasikia tu?
Mtoto wa miaka 15 huko majuu anauwezo wa kutengeneza software iliyo kamilika wakati huku kwetu mtoto wa rika hilo hajui kusoma vizuri.Habari wadau.
Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.
Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.
Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.
Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka miaka 13 ambao wanaweza kusoma degree kwenye vyuo vikuu vyetu kama udsm, mzumbe , udom ama Muhas
Tunakosea wapi ama tuna gundu hatuwezi kuzaa watoto ma Genious Darasani wa kusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari unaochukua miaka mingi kufika chuo kikuu
Mfano wa wahitimu wa vyuo vikuu ni
1. Balamurali Ambati alimaliza degree ya udaktari akiwa na miaka 16 na kufikia miaka 17 akawa daktari tayari anatibu watu.
2. Michael Kearney alihitimu degree ya Geology akiwa na miaka 8 tu.
3. Ruth Lawrence alimaliza degree yake ya Physics Oxford university akiwa na miaka 11 na akaunganisha degree zingine hapo hapo Oxford kufikia miaka 17 akahitimu PHD ya Mathematics hapo hapo Oxford University
4. Sho Yano alihitimu degree yake ya udaktari akiwa na umri wa miaka 12 tu
5 - Juliet Beni. At just 15 years old, she obtained her bachelor’s degree at the University of California, ( chuo kikuu alichosoma proffessor Mkandala wa udsm kinampa nafasi mtoto mdogo asome degree yake mapema )
Aaaah mkuu udsm? Kwa facility zipi? Nimesoma ud postgraduate lakin Tanzania bwana ni miyeyusho miyeyusho tu mkuu, yan mleta mada kaweka Oxford ujue Oxford ni mwenzake na Havard na kina MIT, mkuu kwanini umeweka udsm? DaaahBongo hatuna watoto wenye akili hata wa rare cases wanaoweza kumudu masomo udsm ?
Ahahaha et dx/dy, hii sisi wanyama wakali tulitandika A, lakin tukiwa tushakuwa wakubwa na tume integrate na ku differentiate sanaaaaaa... Mkuu ulaya kuna maajambu sana mzee sina uhakika na analosema jamaa ngoja nifanye research
Sasa wee unavyoona inawezekana Yale integrals kufanya Na watoto ambao hawajafika miaka 4?Ahahaha et dx/dy, hii sisi wanyama wakali tulitandika A, lakin tukiwa tushakuwa wakubwa na tume integrate na ku differentiate sanaaaaaa... Mkuu ulaya kuna maajambu sana mzee sina uhakika na analosema jamaa ngoja nifanye research
Ni ngumu sana mkuu kama kuna mwanangu mmoja hata simultaneous exuation hawez kujibu wakati majibu yanaonekana wazi kabisa na ana 30+ iwe integral kwa mtoto wa 4 years.. Mkuu ni ngumu sanaaaaSasa wee unavyoona inawezekana Yale integrals kufanya Na watoto ambao hawajafika miaka 4?