Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

Shida sio kwamba watoto wetu hawana uwezo bali ni mifumo mibovu ya elimu tuliyonayo.mfano unakuta mtu anasoma mpk kidato ch nne lakin haelewi hata anataka kuwa nani,na nchi hii wasomi ni wengi na uwezo wa nchi kuwamudu ni mdogo na hivyo lengo kuu ni kupunguza wasomi kwa njia tofautitofauti,hii inapelekea mtu unasoma miaka mingi isiyonasababu ili mradi tu mpungue.

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Bongo hatuna watoto wenye akili hata wa rare cases wanaoweza kumudu masomo udsm ?
Kuna dogo alikua na miaka 10 kama sikosei alikua anakita namba anafundisha basic maths. Alichukuliwa na familia ya akina Makamba. Nadhani ukim gooogle unaweza kupata habari zake. Sijui kaishia wapi yule mtoto.

Kuna binti wakati tunasoma alikua anaitwa Zuhura namkumbuka alikua darasa la 5 lakini alikua ana solve hesabu za trigonometry, vector, algebra nakumbuka mpaka kesho. Sijui naye aliishia wapi. Sisi tatizo tunajiendea mradi tunaenda.
 
Ipo hivi kwa msioelewa.

Kuna watoto wanaozaliwa wakiwa na uwezo wa ajabu (geniuses). Mtoto anaweza kuzaliwa ni genius kwenye Maths, Arts, n.k

So wakigundua mapema wanamuendeleza chap katika kipaji alicho nacho.

Kuna watoto wanazaliwa wanapiga Calculus wakiwa na miaka mitatu tu.

So hizo ni rare cases na ndio maana ni wachache sio kila mtu anaweza. Hao wamezaliwa na uwezo wa juu sana.
Mkuu calculus hii hii ya dy/dx anafanya mtoto wa miaka mitatu ?

images (81).jpeg
 
Sijui kama nao wanajazaga takataka za "What's the longest river in the World.......! Homohabilis"
Kwa hali ya sasa sijui kama bado wanaendelea kuwamezesha watoto majina ya mawaziri na majina ya vyama vya siasa...........elimu yetu shida sana.....sasa nikae nameza majina ya vyama vya kisiasa tena walimu walikua wanapenda kuweka vile vyama vya ajabu ajabu mara sijui chausta,,,halaf umeze tena majina ya mawaziri hii sijui kama wanaendelea sahivi maana sahivi kila kipindi mkeka mpya,,,,,baadae unakuja kuwaza haya madude yote kwenye maisha ya huyo mwanafunzi yana impact gani.......mara umeweze part za panzi..........................ukija kuingia kitaa inabidi tena uanze kujifunza elimu ya mtaani maana ukijifanya kuzama mtaani na elimu yako ya darasani kufeli ni rahisi labda kama uliendelea kukaa kwny system ukapata ka ajira kdg tena hako kaajira kaendane na uliyomeza tofauti na hapo unaweza kujikuta una cheti la engineer ila life linakutandika unaingia hata kwenye kazi za wana bcom
 
Kama watoto wa wale viumbe vya kufikilika(aliens) nasikia sisi wakati watoto wetu wanatumia abacus same age mate wao wanasolve Ma calculus na ma integral ya hatari.
 
Sio wazungu wote... sio rahisi ndio maana hao walioweza wamewekwa taarifa zao kama habari..... Hao watoto uliowaweka huwa wanakuwa na special ability (uwezo wa juu kuliko kawaida) mfano mzuri no Yule mtoto wa kitanzania mwenye miaka 5 aliekuwa anafanya hadi mitihan ya secondary na kufaulu...

Ninachojua elimu yao wengi wanahitimu chuo na miaka 16, 18 ndio miaka midogo.....
.Italians wao wanataka mtoto aanze kujifunza vitu vya shule akiwa na miaka 5 chini ya hapo huwa wanajifunza general skills za maisha na kuenjoy utoto tu....sasa mtoto huyo ataweza kweli kumaliza na miaka 13
 
Habari wadau.

Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.

Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.

Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.

Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka miaka 13 ambao wanaweza kusoma degree kwenye vyuo vikuu vyetu kama udsm, mzumbe , udom ama Muhas

Tunakosea wapi ama tuna gundu hatuwezi kuzaa watoto ma Genious Darasani wa kusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari unaochukua miaka mingi kufika chuo kikuu

Mfano wa wahitimu wa vyuo vikuu ni

1. Balamurali Ambati alimaliza degree ya udaktari akiwa na miaka 16 na kufikia miaka 17 akawa daktari tayari anatibu watu.

2. Michael Kearney alihitimu degree ya Geology akiwa na miaka 8 tu.

3. Ruth Lawrence alimaliza degree yake ya Physics Oxford university akiwa na miaka 11 na akaunganisha degree zingine hapo hapo Oxford kufikia miaka 17 akahitimu PHD ya Mathematics hapo hapo Oxford University

4. Sho Yano alihitimu degree yake ya udaktari akiwa na umri wa miaka 12 tu

5 - Juliet Beni. At just 15 years old, she obtained her bachelor’s degree at the University of California, ( chuo kikuu alichosoma proffessor Mkandala wa udsm kinampa nafasi mtoto mdogo asome degree yake mapema )
Kuna hawa toppers wa MIT na phd za at 22 age

Huku bongo 22 mtu yuko f4
 
Attachments

  • Tiera-Fletcher-1-scaled.jpg
    Tiera-Fletcher-1-scaled.jpg
    246.9 KB · Views: 15
  • FCVtAfSWQAAMKsE.jpg
    FCVtAfSWQAAMKsE.jpg
    116.8 KB · Views: 18
Habari wadau.

Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.

Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.

Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.

Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka miaka 13 ambao wanaweza kusoma degree kwenye vyuo vikuu vyetu kama udsm, mzumbe , udom ama Muhas

Tunakosea wapi ama tuna gundu hatuwezi kuzaa watoto ma Genious Darasani wa kusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari unaochukua miaka mingi kufika chuo kikuu

Mfano wa wahitimu wa vyuo vikuu ni

1. Balamurali Ambati alimaliza degree ya udaktari akiwa na miaka 16 na kufikia miaka 17 akawa daktari tayari anatibu watu.

2. Michael Kearney alihitimu degree ya Geology akiwa na miaka 8 tu.

3. Ruth Lawrence alimaliza degree yake ya Physics Oxford university akiwa na miaka 11 na akaunganisha degree zingine hapo hapo Oxford kufikia miaka 17 akahitimu PHD ya Mathematics hapo hapo Oxford University

4. Sho Yano alihitimu degree yake ya udaktari akiwa na umri wa miaka 12 tu

5 - Juliet Beni. At just 15 years old, she obtained her bachelor’s degree at the University of California, ( chuo kikuu alichosoma proffessor Mkandala wa udsm kinampa nafasi mtoto mdogo asome degree yake mapema )
Huko majuu mfumo wao sio kama huku kwetu,pale UDSM,na DIT Elimu huwa ni vita kati ya wanafunzi na waalimu,enzi zetu furaha ya waalimu ilikuwa "kukamata"supplementary wanafunzi wengi,au kudai Rushwa ya pesa kutoka kwa wanaume au ngono kutoka kwa wanawake,
 
Mtoto wa miaka mitatu namjua ,hawezi integrate integrals , mkuu unayajua Yale madude au unayasikia tu?
Well ni admit kuwa huo umri naweza kuwa nime exaggerate lakini kuna child prodigies.

Mfano huyu dogo hebu mtafute Balamurali Ambati.
 
Habari wadau.

Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.

Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.

Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.

Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka miaka 13 ambao wanaweza kusoma degree kwenye vyuo vikuu vyetu kama udsm, mzumbe , udom ama Muhas

Tunakosea wapi ama tuna gundu hatuwezi kuzaa watoto ma Genious Darasani wa kusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari unaochukua miaka mingi kufika chuo kikuu

Mfano wa wahitimu wa vyuo vikuu ni

1. Balamurali Ambati alimaliza degree ya udaktari akiwa na miaka 16 na kufikia miaka 17 akawa daktari tayari anatibu watu.

2. Michael Kearney alihitimu degree ya Geology akiwa na miaka 8 tu.

3. Ruth Lawrence alimaliza degree yake ya Physics Oxford university akiwa na miaka 11 na akaunganisha degree zingine hapo hapo Oxford kufikia miaka 17 akahitimu PHD ya Mathematics hapo hapo Oxford University

4. Sho Yano alihitimu degree yake ya udaktari akiwa na umri wa miaka 12 tu

5 - Juliet Beni. At just 15 years old, she obtained her bachelor’s degree at the University of California, ( chuo kikuu alichosoma proffessor Mkandala wa udsm kinampa nafasi mtoto mdogo asome degree yake mapema )
Mtoto wa miaka 15 huko majuu anauwezo wa kutengeneza software iliyo kamilika wakati huku kwetu mtoto wa rika hilo hajui kusoma vizuri.
 
Bongo hatuna watoto wenye akili hata wa rare cases wanaoweza kumudu masomo udsm ?
Aaaah mkuu udsm? Kwa facility zipi? Nimesoma ud postgraduate lakin Tanzania bwana ni miyeyusho miyeyusho tu mkuu, yan mleta mada kaweka Oxford ujue Oxford ni mwenzake na Havard na kina MIT, mkuu kwanini umeweka udsm? Daaah
 
Mkuu calculus hii hii ya dy/dx anafanya mtoto wa miaka mitatu ?

View attachment 2536187
Ahahaha et dx/dy, hii sisi wanyama wakali tulitandika A, lakin tukiwa tushakuwa wakubwa na tume integrate na ku differentiate sanaaaaaa... Mkuu ulaya kuna maajambu sana mzee sina uhakika na analosema jamaa ngoja nifanye research
 
Sisi tuliosoma miaka ya zamani huo umri wa miaka 17 tulikuwa Sekondari tunakomaa na mambo ya Mfekemo War na Ngoni migration🙆

Miaka 3 baadaye tukawa tunakomaa na mambo ya Calculus Advanced level kabla ya kusomea Engineering huko Collage.

Yaani vichwa vyetu vina package ya vitu lukuki hapa tulipo na vyote tulitakiwa kuvisoma ili tuwe hapa tulipo 🙌
 
Ahahaha et dx/dy, hii sisi wanyama wakali tulitandika A, lakin tukiwa tushakuwa wakubwa na tume integrate na ku differentiate sanaaaaaa... Mkuu ulaya kuna maajambu sana mzee sina uhakika na analosema jamaa ngoja nifanye research
Sasa wee unavyoona inawezekana Yale integrals kufanya Na watoto ambao hawajafika miaka 4?
 
Ni ngumu sana mkuu kama kuna mwanangu mmoja hata simultaneous exuation hawez kujibu wakati majibu yanaonekana wazi kabisa na ana 30+ iwe integral kwa mtoto wa 4 years.. Mkuu ni ngumu sanaaaa
 
Back
Top Bottom