Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu maana naona huu Uzi umejaa chai tu , eti mtoto wa miama 8 kapata degree au sijui wa miaka 3 anasolve integrals. Kuna zile integrals kila ukifanya zinajirudia mpaka urudishe kule sehemu ya pili ya equation ukachanganye Na swali halafu simple tu anakuja mtu anasema mtoto wa miaka 3 ulaya anafanya yote hayo.. Hii ni kashfa kwetu tuliyajua hayo tukiwa Na miaka 20Ni ngumu sana mkuu kama kuna mwanangu mmoja hata simultaneous exuation hawez kujibu wakati majibu yanaonekana wazi kabisa na ana 30+ iwe integral kwa mtoto wa 4 years.. Mkuu ni ngumu sanaaaa
Haya mambo magumu ukitaka kujua pita mtaan kwa mtu alofika atleast form four muulize 1.5x1.5 na 1.5+1.5 ipi inaleta jibu kubwa? Utakutana na vitu vya ajabu sana tafuta hata aliemaliza chuo..Sasa wee unavyoona inawezekana Yale integrals kufanya Na watoto ambao hawajafika miaka 4?
Kusoma degree tz Ni lazima utoke form 6 au uwe na diploma ulioipata pale ume feli form four au kufeli form 6 Kisha ukafate diploma sehemu ndo uanze degree no short cut for that herekusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari
Umejaribu kuangalia iq za hao uliwaowataja? Wote hao nina uhakika ni wale 1% ambao iq zao ni very exceptional hata kwa wazungu wenzao .Habari wadau.
Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.
Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.
Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.
Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka miaka 13 ambao wanaweza kusoma degree kwenye vyuo vikuu vyetu kama udsm, mzumbe , udom ama Muhas
Tunakosea wapi ama tuna gundu hatuwezi kuzaa watoto ma Genious Darasani wa kusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari unaochukua miaka mingi kufika chuo kikuu
Mfano wa wahitimu wa vyuo vikuu ni
1. Balamurali Ambati alimaliza degree ya udaktari akiwa na miaka 16 na kufikia miaka 17 akawa daktari tayari anatibu watu.
2. Michael Kearney alihitimu degree ya Geology akiwa na miaka 8 tu.
3. Ruth Lawrence alimaliza degree yake ya Physics Oxford university akiwa na miaka 11 na akaunganisha degree zingine hapo hapo Oxford kufikia miaka 17 akahitimu PHD ya Mathematics hapo hapo Oxford University
4. Sho Yano alihitimu degree yake ya udaktari akiwa na umri wa miaka 12 tu
5 - Juliet Beni. At just 15 years old, she obtained her bachelor’s degree at the University of California, ( chuo kikuu alichosoma proffessor Mkandala wa udsm kinampa nafasi mtoto mdogo asome degree yake mapema )
Kusoma degree si lazima usome form six na kwenda diploma si lazima ufeli form 4 mfano vyuo vingi sana vya technical vina sponsor form four waliochagua diploma badala ya advance secondary na hao wanaokwenda diploma kwa kuchagua ni vichwa haswa wana division 1 na 2 wengi wao .Kusoma degree tz Ni lazima utoke form 6 au uwe na diploma ulioipata pale ume feli form four au kufeli form 6 Kisha ukafate diploma sehemu ndo uanze degree no short cut for that here
Yupo yule dogo aliyekuwa anataja majina ya viongozi wote wa Africa.Bongo hatuna watoto wenye akili hata wa rare cases wanaoweza kumudu masomo udsm ?
MHapo watasoma diploma na wakimaliza level 6 wanakuwa eligible kujiunga na degree level
Hao ni broiler tofauti na sisi wakienyeji..Habari wadau.
Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.
Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.
Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.
Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka miaka 13 ambao wanaweza kusoma degree kwenye vyuo vikuu vyetu kama udsm, mzumbe , udom ama Muhas
Tunakosea wapi ama tuna gundu hatuwezi kuzaa watoto ma Genious Darasani wa kusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari unaochukua miaka mingi kufika chuo kikuu
Mfano wa wahitimu wa vyuo vikuu ni
1. Balamurali Ambati alimaliza degree ya udaktari akiwa na miaka 16 na kufikia miaka 17 akawa daktari tayari anatibu watu.
2. Michael Kearney alihitimu degree ya Geology akiwa na miaka 8 tu.
3. Ruth Lawrence alimaliza degree yake ya Physics Oxford university akiwa na miaka 11 na akaunganisha degree zingine hapo hapo Oxford kufikia miaka 17 akahitimu PHD ya Mathematics hapo hapo Oxford University
4. Sho Yano alihitimu degree yake ya udaktari akiwa na umri wa miaka 12 tu
5 - Juliet Beni. At just 15 years old, she obtained her bachelor’s degree at the University of California, ( chuo kikuu alichosoma proffessor Mkandala wa udsm kinampa nafasi mtoto mdogo asome degree yake mapema )
Sawa broTunao kibao sema wakijitokeza watu wanawapuuza basi tu
Nanukuu: "Sikujuaga aliishia wapi."Inawezekana wapo lakini mazingira yetu haya support mambo kama hayo. Sisi tulishakariri lazima mtoto asome chekecea, msingi, sekondari ndio aende chuo.
Ila mimi kuna dogo mmoja alikuwa anaitwa Bryan nakumbuka alikuwa darasa la nne ila alifanya mtihani wa la saba akafaulu na kuenda sekondari akiwa mdogo kabisa. Sikujuaga aliishia wapi.
Huku kwetu wapo hao watoto shida ni mifumo yetu iliyodumaa na kukariri maisha.
Licha ya KUFANYA makubwa darasani ila alifanya blunders sana in real prectice, inaonekana KWENYE research papers ni nondo huyu jamaa ila kwingine huku kama surgery alizingua.Well ni admit kuwa huo umri naweza kuwa nime exaggerate lakini kuna child prodigies.
Mfano huyu dogo hebu mtafute Balamurali Ambati.