Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ni wenye akili tu wanaweza elewa ulichomaanisha mkuuMara Dar Jiji la 6 Kwa usafi kwani wazungu ndio wanaishi Tanzania hadi waweze kitueleza kitu tunschoishi nacho
Your argument is simply The Sunk Cost FallacyUliwahi kuombwa rushwa na ukatoa?
In fact saizi kesi za Wala rushwa ziko nyingi sana Mahakamani na wengine kila siku wanatumbuliwa..
Zama za Jiwe ilikuwa na kucomorokose kwa pesa..
Ni Rais Samia ndio aliwakemea polisi kupokea rushwa ila Mwendazake aliwaruhusu akisema ni vipesa vidogo.
Especially pia kama masikio hayachuji taarifa. Uvivu wa kufikiri. Kila siku watu wanakumbushwa AKILI ZA KUAMBIWA...Kama umelala nyumbani utaamini rushwa haipo
Jiwe ndiye alikiwa chanzo cha rushwa na wizi, kumbuka alivyowagawia mahawara zake nyumba za SerikaliKuondoka kwa Rushwa hakujawahi kuwa kwa siku moja.
Sipingani na tafiti ila nachowezaa kusema ni kwamba.. Miundo mbinu na namna JPM alivyoendesha nchi matotokeo yake yanaweza kuwa ndio haya yanayosemwa leo.
Utawala wa Samia unaweza kuupima baada ya miaka miwili na kuendelea, kwa sasa watu bado wanamuwaza JPM watu waliotengenezwa na JPM bado wako kwenye mfumo.
Wacha tuone toleo la akina Nape na January itakuwaje baada ya miaka miwili.
Sukuma gang mnaangaika sana, poleni kwa kufiwa na mungu wenuAcheni UKENGE wenu hapa.
Tuna mifano hai hapa.
Juzi hapa ndugu yangu mmoja amekwenda kuomba cheti cha kuzaliwa cha Mwanae, Wilayani.
Alipofika wakamwambia atoe sh.200,000/= kwanza.
Kwa kuwa hakuwa na hiyo laki mbili, akaenda kukopa kwa rafiki yake.
Alipokuwa akieleza lengo la kukopa hizo fedha, yule rafiki yake akapiga simu TAKUKURU. Kwa bahati mbaya sana, kumbe TAKUKURU walikuwa kitu kimoja na wale wahalifu. Ikabidi TAKUKURU wawataarifu wale waliotaka kupokea rushwa, kuwa issue ile imefika kwao( TAKUKURU)
Alipokwenda tena kufuatilia cheti, akaambiwa, "Cheti utakipata TAKUKURU"
Baada ya hapo, yule rafiki yake akachukua hatua kali zaidi. Akitoa taarifa hizo kwa Waziri wa Wizara fulani.
Kwa bahati nzuri, yule Waziri alifanikiwa kuwatimua kazi wote, TAKUKURU na wale wahalifu wanaohusika na utoaji vyeti vya kuzaliwa pale Wilayani.
Kwa hiyo, ukweli ni kwamba, hali sasa ni mbaya mno mno mno.
Hizo ni akili zilizofeli kabisa.
Mzungu yupo Ulaya, anajuaje habari za rushwa Tanzania?
Sisi Watanzania ndo tunaojua zaidi hali ilivyo mbaya sasa.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
No research no right to say,Kwa sababu wewe ni kiazi ndio unataka kila mtu awe kiazi kama wewe
Hizi research ndizo wanatumia kina mwigulu. na jafo kupata PhDNo research no right to say,
Hii research haifanywi Tanzania, tuHizi research ndizo wanatumia kina mwigulu. na jafo kupata PhD
Nakupongeza Sana Rais Samia Suluhu Hassan,View attachment 2297821
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize
Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti na taasisi ya kitaifa ya Transparency International kwa vigezo 180 na kuziacha nchi za Msumbiji 149, Uganda 142, Kenya 128, malawi110 na Zambia 117
Aidha,Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka wa jana,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza na kutafiti kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020'21.
Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua Sana wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ameachia uhuru wa kujieleza kwa wananchi wake,
Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019'20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,
Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa mapema mwaka huu Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019'20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,
Hongera Tanzania, Hongera Mama Samia Suluhu Hassan kwani huu ni ushindi mkubwa kwa Taifa,
Mama Samia anatisha huyu Mama, Rushwa haipiganwi kwa kuwaziba midomo raiaView attachment 2297821

Sasa wewe unalisemaje jiji la Dar?Mara Dar Jiji la 6 Kwa usafi kwani wazungu ndio wanaishi Tanzania hadi waweze kitueleza kitu tunschoishi nacho
Achana na mareseach ya kibongo hii ni kimataifa 😀Hizi research ndizo wanatumia kina mwigulu. na jafo kupata PhD
Haiwezi kuisha ila inapunguaKama umelala nyumbani utaamini rushwa haipo
Ndio, yesBila kusahau katika nchi 5 salama kuishi/kutembea Afrika Tanzania ipo.[emoji3590]