Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sisi waafrika ni wajinga siku zote.
Ndio maana unaona Warusi, Wachina, Iran wameamua kuikomboa Dunia kutoka Kwa WAMAGHARIBI.
Wewe Toka Lini Mzungu akampenda Mtu mweusi kiasi Cha kuanza kumsifia?
Na mfahm yakua, kwa hii vita ya Uchumi waloianzisha Na Urusi.
Wazungu muda Si mrefu watarudi Afrika kuanza kupigania Malighafi kama ilivyokua wakati wa Ukoloni.
Na habari njema ni kwamba, Kwa aina ya Hawa viongozi tulonalo, TUTATAWALIWA UPYA.