CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Huenda ikawa sawa au sio sawa,Kuondoka kwa Rushwa hakujawahi kuwa kwa siku moja.
Sipingani na tafiti ila nachowezaa kusema ni kwamba.. Miundo mbinu na namna JPM alivyoendesha nchi matotokeo yake yanaweza kuwa ndio haya yanayosemwa leo.
Utawala wa Samia unaweza kuupima baada ya miaka miwili na kuendelea, kwa sasa watu bado wanamuwaza JPM watu waliotengenezwa na JPM bado wako kwenye mfumo.
Wacha tuone toleo la akina Nape na January itakuwaje baada ya miaka miwili.
Hakika kweliUtafiti, kama hujui kaa kimya
Rushwa imepungua na ni kwa takwimuEti wazungu ndio wanajua rushwa imepungua tz,waulize wazungu kwa Nini walimuua Lumumba,kabral na mondlane,sisi tuliopo nangunde huku tusione huo unafuu.
Yes yesYES and NO.
Soma uzi wangu unaitwa "mfano" nenda search utakutana nao.Mara Dar Jiji la 6 Kwa usafi kwani wazungu ndio wanaishi Tanzania hadi waweze kitueleza kitu tunschoishi nacho
Kasome uzi wangu unaitwa "mfano"Waulilze wanaposema RUSHWA wana maana gani? Pengine kwao maana ya rushwa ni ugumu wa kujikwapulia rasilimali zetu.
Which means, kupungua kwa rushwa--hakuna ugumu tena wa kuchota mali za wananchi, ubadhirifu, ufisadi, na madili.
Unaongeaga nini we 🐒?Jiwe ndiye alikiwa chanzo cha rushwa na wizi, kumbuka alivyowagawia mahawara zake nyumba za Serikali
Sasa wewe ulitarajia huyo RC akwambie kuwa rushwa imeongezeka, na JPM angekuwa hai wala asingelinganisha hiyo kitu.Mara Dar Jiji la 6 Kwa usafi kwani wazungu ndio wanaishi Tanzania hadi waweze kitueleza kitu tunschoishi nacho
Hilo ni kweli kabsa, kama mtu anaweza kukulazimisha uvae nguo zake alizotumia kuanzia chupi na ukisema hapana anakwambia ukija kukopa sikupi mkopo.Wazungu Toka enzi za utumwa na kututawala mpaka Leo wanatuonaga hatuna akili
Mitumba sio! [emoji848]Hilo ni kweli kabsa, kama mtu anaweza kukulazimisha uvae nguo zake alizotumia kuanzia chupi na ukisema hapana anakwambia ukija kukopa sikupi mkopo.
Kwani wakati wa JPM tulitumia kipimo gani kama sio hiki hiki cha CPI?Sasa wewe ulitarajia huyo RC akwambie kuwa rushwa imeongezeka, na JPM angekuwa hai wala asingelinganisha hiyo kitu.
Mwenye macho haambiwi tazama.View attachment 2297821
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize
Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti na taasisi ya kitaifa ya Transparency International kwa vigezo 180 na kuziacha nchi za Msumbiji 149, Uganda 142, Kenya 128, malawi110 na Zambia 117
Aidha,Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka wa jana,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza na kutafiti kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020'21.
Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua Sana wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ameachia uhuru wa kujieleza kwa wananchi wake,
Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019'20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,
Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa mapema mwaka huu Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019'20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,
Hongera Tanzania, Hongera Mama Samia Suluhu Hassan kwani huu ni ushindi mkubwa kwa Taifa,
Unadhani matusi yako natabadilisha uhalifu wa jiweUnaongeaga nini we 🐒?
Nenda kanye kidogo maana ubongo wako umejaa👎💩.
Mabeberu ni wataalam wa kula na kipofu!! Ukiona anakusifu ujue keshakufanya shamba la bibi! Ndiyo maana mabeberu hawawezi kabisa kuisifu China, India, Brazil, Urusi, Iran, Korea ya kaskazini nk. Huko mashamba ya bibi yalishataifishwa kitambo!! Yanahudumia raia wao!!View attachment 2297821