Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

Kuondoka kwa Rushwa hakujawahi kuwa kwa siku moja.

Sipingani na tafiti ila nachowezaa kusema ni kwamba.. Miundo mbinu na namna JPM alivyoendesha nchi matotokeo yake yanaweza kuwa ndio haya yanayosemwa leo.

Utawala wa Samia unaweza kuupima baada ya miaka miwili na kuendelea, kwa sasa watu bado wanamuwaza JPM watu waliotengenezwa na JPM bado wako kwenye mfumo.

Wacha tuone toleo la akina Nape na January itakuwaje baada ya miaka miwili.
Huenda ikawa sawa au sio sawa,
 
Eti wazungu ndio wanajua rushwa imepungua tz,waulize wazungu kwa Nini walimuua Lumumba,kabral na mondlane,sisi tuliopo nangunde huku tusione huo unafuu.
 
Rushwa imepungua na ni kwa takwimu
 
Kiongozi yeyote yule asiyejiamni mpka apewe maoni na mtu wa taifa la mbali huyo ni chizi.

Ilitakiwa hayo maoni ya kupungua/kuongezeka kwa rushwa tusemee sisi wananchi wa hii nchi maana ndio tunaona uhalisia wa mambo nchini, hao Wazungu ni wajinga tu wanaokaa vikao huko Uzunguni na kutoa data za kuwafurahisha vibaraka wao huku.

Atleast hizo data wangetoa jirani zetu kenya,uganda or nchi yeyote East Africa maana hawa ndio wanajua nn kinaendelea.

Hata hivyo bado hatujafanikiwa kupata viongozi wanaojiamini kuweza kuendesha nchi bila kutegemea sifa za wageni wa mbali.
 
Waulilze wanaposema RUSHWA wana maana gani? Pengine kwao maana ya rushwa ni ugumu wa kujikwapulia rasilimali zetu.

Which means, kupungua kwa rushwa--hakuna ugumu tena wa kuchota mali za wananchi, ubadhirifu, ufisadi, na madili.
Kasome uzi wangu unaitwa "mfano"

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Wazungu Toka enzi za utumwa na kututawala mpaka Leo wanatuonaga hatuna akili
Hilo ni kweli kabsa, kama mtu anaweza kukulazimisha uvae nguo zake alizotumia kuanzia chupi na ukisema hapana anakwambia ukija kukopa sikupi mkopo.
 
Watu liogopa hata kutoa taarifa za wezI au walarushwa kwa kuogopa kupewa kesi ya kuichafua serikali ya awamu ya tano
 
View attachment 2297821

Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize

Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti na taasisi ya kitaifa ya Transparency International kwa vigezo 180 na kuziacha nchi za Msumbiji 149, Uganda 142, Kenya 128, malawi110 na Zambia 117

Aidha,Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka wa jana,

Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza na kutafiti kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020'21.

Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua Sana wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ameachia uhuru wa kujieleza kwa wananchi wake,

Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019'20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,

Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa mapema mwaka huu Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019'20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,

Hongera Tanzania, Hongera Mama Samia Suluhu Hassan kwani huu ni ushindi mkubwa kwa Taifa,
Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Sasa 2020/2021 kama rushuwa imepungua huo msingi si ulijengwa na Magu

Warudi kufanya tafiti 2023/2024 alafu watoe majibu maana mda huo naamini wale waliombiwa wale kwa urefu wa kamba zao watakuwa wameshazika ili wasogee mbele zaidi
 
View attachment 2297821

Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize

Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti na taasisi ya kitaifa ya Transparency International kwa vigezo 180 na kuziacha nchi za Msumbiji 149, Uganda 142, Kenya 128, malawi110 na Zambia 117

Aidha,Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka wa jana,

Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza na kutafiti kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020'21.

Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua Sana wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ameachia uhuru wa kujieleza kwa wananchi wake,

Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019'20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,

Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa mapema mwaka huu Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019'20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,

Hongera Tanzania, Hongera Mama Samia Suluhu Hassan kwani huu ni ushindi mkubwa kwa Taifa,
Mabeberu ni wataalam wa kula na kipofu!! Ukiona anakusifu ujue keshakufanya shamba la bibi! Ndiyo maana mabeberu hawawezi kabisa kuisifu China, India, Brazil, Urusi, Iran, Korea ya kaskazini nk. Huko mashamba ya bibi yalishataifishwa kitambo!! Yanahudumia raia wao!!

Hapa Tz kuna dalili za mabeberu kupashambulia na kupagombania kama mpira wa kona! Kwa mabeberu urahisi wa uporaji huuita "mazingira bora na rafiki ya uwekezaji"
 
Ok unafikiri ni hatua gani zilizochukuliwa hadi kuweza kupata matokeo ya kupungua huku kwa rushwa?
 
Back
Top Bottom