Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

Rushwa imeeishaa? Jana nimetoka tu wilayani ofisi za ardhi jamaa anataka 500k ili anikamilishie vipimo. Wakati wa JPM hayo hayakuwepo
 
Ata mrusi naye no mzungu tena wabaguzi haswa....
 
Inasikitisha sana kusikia inasemekana kuna mpaka rushwa za uongozi utokanao na teuzi mbalimbali ndani ya taasisi za Umma.

Matharani uteuzi wa HODs , Mgr’s etc kumbe ni Kwa kujuana na kuahidi kuwa utakuwa unapeleka ngapi kila mwezi iwapo utapewa hiyo nafasi na si mtu mwingine?!

Rushwa ni kitu kibaya sana lakini rushwa ya aina hiyo ni mbaya zaidi.

Inaenda kulazimisha waofisa wachini wawe wanatafuta kupata hela kwa njia ya rushwa ili wapeleke kwa boss wao ili boss wao apeleke Alikoji-committ kupeleka marejesho!

Eventually the whole taasisi and system as whole become corrupted?!

Tunajenga jamii yenye misingi ya aina gani ?

Sasa Kwanini nafasi zisitangazwe kwa uwazi ndani ya taasisi husika kama zamani?
 
Hongera kwa kuwaongezea mishahara watumishi
 
Hovyo kabisa yani mzungu wa mbali yeye ndo wakusema rushwa imepungua ,wakati sisi raia tunaona imeongezeka maradufu.
 
Awamu ya mwendazake yeye mwenyewe alitupiga Trilioni 1.2 yeye na mpwa wake Dotto tena bila huruma!
 
A
Wewe na Kafulila acheni ujinga wa kuruhusu kuelezewa na wageni. Transparent International ni ka-NGO tu ka wazungu. Sasa mtu na akili yako unakubali picha ya nchi yako kutoka kwa wazungu?

Tangu lini mzungu, hususani yule wa kutokea kwenye nchi za kikoloni, akawa na jema la kusema kuhusu nchi isiyo ya wazungu, hususani Afrika?

Tuna vyombo vyetu vya takwimu, serikali inapaswa iviagize kufanya utafiti kuhusu rushwa nchini mwetu.
 
Kwani tangu zamani Tanzania ilitumia nini kuamini kiwango cha Rushwa,
 
Pole
 
Wakati wa Magu watu tulipigwa balaa, asante Sana Mama Samia
Acheni upumbavu, wajinga wakubwa nyie... Unadhani ukitetea maslahi ya mshenzi ataacha kukusifia kwa kisichokuwepo? Yaani maTanzania sijui akili zenu ziko nyuma ya makalio?!!
 
Acheni upumbavu, wajinga wakubwa nyie... Unadhani ukitetea maslahi ya mshenzi ataacha kukusifia kwa kisichokuwepo? Yaani maTanzania sijui akili zenu ziko nyuma ya makalio?!!
Sifa zote ulizomwaga hapa hakika ni zako
 
Rushwa haiwezi kuondoka kama kwa siku moja kama unavyo dai, lakini inaweza kupungua kwa siku moja.

Je, unafahamu kesi za uhujumu na utakatishaji pesa, + kusababishia serikali hasara zimekua uchochoro wa kudhurum watu?

Nje ya hapo ,ilitumika kama nyenzo ya kutishia nawatu kujichukulia rushwa.

Kuna vikosi kazi vlitapakaa, Mikumi, Migori, Iringa Ipogoro , makuyuni Arusha. Nakwingineko Singida walikua Misigiri.

Hao kazi Yao ilikua kutishia na mwisho wa vitisho nikuchukua rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…