Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

Kati ya wazungu na Watanzania Nani anajua vizuri Tanzania?
 
Nao usikute wanaungaunga tu. hahah
Tatizo wabongo wakisikia mzungu vyupi zinawashuka. Sisi ndo wahusika mnasubiri muambiwe na wazungu. You might not be aware ila hawa jamaa ukiwawekea mazingira makampuni yao yakawa yanaingia kufanya yatakavyo bila bughdha utapambwa in different colours na utaitwa hata kuhutumia top universities zao na tuzo za kutosha. Kumbuka wakati wa mwamba hata tramp alikuwa analalamika kampuni zake kukosa raha kwa kubanwa .hiyo ndo siasa ya Dunia .Mama anafungua milango na kazi iendelee
 
Kazi iendelee Tanzania.
 
Daah
 
Kipindi cha Magufuli rushwa ilikuwa kubwa sana.
 
Mara Dar Jiji la 6 Kwa usafi kwani wazungu ndio wanaishi Tanzania hadi waweze kitueleza kitu tunschoishi nacho
Kwakuwa mnaendelea kuwategemea kwa kila kitu ili muendeshe nchi yenu lazima wawaamulie watakacho
 
Haihitaji degree kung'amua hilo, kama unaendesha gari tu kila siku majibu yako wazi.
 
Wazungu wazinguaje wanafurahi wanapoona jamii ni maskini kusudi waendelee kuwaita 3rd world countries…

Rushwa Africa ni donda ndugu wasitudanganye
 
Wazungu wazinguaje wanafurahi wanapoona jamii ni maskini kusudi waendelee kuwaita 3rd world countries…

Rushwa Africa ni donda ndugu wasitudanganye
Aliyesema mwaka jana rushwa inapungua ni nani kama sio wazungu?
 
Kwani hiyo rushwa unalazimishwa? Umetoa taarifa wapi?
We unaona ni haki kile kifanyikacho? Kinahitaji kutolewa taarifa ya nini wakati mamlaka ziko zinakula kodi kwa njia ya mishahara. Yani niache kazi zangu nikatoe taarifa kwa watu wanaolipwa mishahara?
 
We unaona ni haki kile kifanyikacho? Kinahitaji kutolewa taarifa ya nini wakati mamlaka ziko zinakula kodi kwa njia ya mishahara. Yani niache kazi zangu nikatoe taarifa kwa watu wanaolipwa mishahara?
Kwa mantiki hiyo ni wewe unaunga mkono rushwa
 
"Adui yake akikusifia, geuka nyuma uangalie umekesea wapi", RIP JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…