Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nimetoa angalizo sijaunga mkono rushwa. WENYE WAJIBU WA KUpambana na rushwa wapo wafanye majukumu yaoKwa mantiki hiyo ni wewe unaunga mkono rushwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoa angalizo sijaunga mkono rushwa. WENYE WAJIBU WA KUpambana na rushwa wapo wafanye majukumu yaoKwa mantiki hiyo ni wewe unaunga mkono rushwa
Kafulila yuko vizuri SanaView attachment 2297821
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize
Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti na taasisi ya kitaifa ya Transparency International kwa vigezo 180 na kuziacha nchi za Msumbiji 149, Uganda 142, Kenya 128, malawi110 na Zambia 117
Aidha,Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka wa jana,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza na kutafiti kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020'21.
Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua Sana wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ameachia uhuru wa kujieleza kwa wananchi wake,
Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019'20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,
Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa mapema mwaka huu Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019'20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,
Hongera Tanzania, Hongera Mama Samia Suluhu Hassan kwani huu ni ushindi mkubwa kwa Taifa,
Umeshaambiwa kwamba chanzo ni Transparency international ndio maana mnafeli sana mitihaniTafiti mbona hamziweki hapa toka chanzo/vyanzo vya kuaminika!!??
Wanajilia vyao kiulainiiiiMkiona Wazungu wananisifia......
Upo mkuu, habari za siku mingiHaihitaji degree kung'amua hilo, kama unaendesha gari tu kila siku majibu yako wazi.
Aisee kwema tuUpo mkuu, habari za siku mingi
Aisee kwema tu
Hebu rudi CCM tulisaidie Taifa letuAisee kwema tu
Usiwe mkurupukaji jamaa.Umeshaambiwa kwamba chanzo ni Transparency international ndio maana mnafeli sana mitihani
Ungeenda Ku-googleUsiwe mkurupukaji jamaa.
Niliyemnukuu unajua aliandika nini!!??
Kwenye hiyo habari umeona chanzo hicho cha TI kilichoandika hayo au umemsikia tu D. Kafulila!!???
Unajua maana ya kuweka chanzo cha tafiti cha kuaminika!!???
Mkuu bagamoyo njoo ufundishe vilaza namna ya kuweka habari na vyanzo vyake vya kuaminika tafadhali.
Mkuu nakusalimu kwa jina JMT,Nimetoa angalizo sijaunga mkono rushwa. WENYE WAJIBU WA KUpambana na rushwa wapo wafanye majukumu yao
Ukiwa msituni huwezi ona msitu utaona miti tuMara Dar Jiji la 6 Kwa usafi kwani wazungu ndio wanaishi Tanzania hadi waweze kitueleza kitu tunschoishi nacho
Hakuna kama Rais SamiaView attachment 2297821
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize
Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti na taasisi ya kitaifa ya Transparency International kwa vigezo 180 na kuziacha nchi za Msumbiji 149, Uganda 142, Kenya 128, malawi110 na Zambia 117
Aidha,Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka wa jana,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza na kutafiti kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa kutumia kipimo cha Corruption Perceptions Index ( CPI ) huku Tanzania nayo ikiwemo mwaka 2020'21.
Ripoti iliyotolewa na taasisi hiyo inayoheshimika zaidi duniani kwa kuwa na taarifa za kweli ya Transparency International inaonesha nchi ya Tanzania rushwa na Ufisadi vimepungua Sana wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ameachia uhuru wa kujieleza kwa wananchi wake,
Mtakumbuka Tanzania ilipata alama 36 kati ya alama 100 zilizotolewa na taasisi hiyo mwaka 2019'20 huku Tanzania tukishika nafasi ya 94 kati ya nchi 180 zilizochunguzwa mwaka huo,
Kwamujibu wa ripoti iliyotolewa mapema mwaka huu Tanzania imepanda kwa nafasi saba ( 7 ) toka ile ya 94/180 mwaka 2019'20 hadi kufikia nafasi ya 87/180 huku ikijizolea alama 39 kati ya alama 100 zilizotolewa,
Hongera Tanzania, Hongera Mama Samia Suluhu Hassan kwani huu ni ushindi mkubwa kwa Taifa,
Nchi yetu utafiti unafanywa na wadhungu, kweli inaonshe jinsi kani sie tunaongeza wingi wa mijambo tuu hapa dunianiUtafiti, kama hujui kaa kimya
Hakuna tena hakuna kabisaHakuna kama Rais Samia
wazungu ni wapuuzi tena wapuuzi sana.afrika tuungane tufanye biashara zetu.tuachane na wazungu.ukiona mzungu anasifia jambo ujue tumeanza kuibiwa rasilimali zetu.kwa nn afrika tusiungane tukaacha kupeleka watoto wetu kusoma huko,tukafanya biashara sisi kwa kuliko kuing"ang"ania hii mibeberu?Sisi waafrika ni wajinga siku zote.
Ndio maana unaona Warusi, Wachina, Iran wameamua kuikomboa Dunia kutoka Kwa WAMAGHARIBI.
Wewe Toka Lini Mzungu akampenda Mtu mweusi kiasi Cha kuanza kumsifia ????
Na mfahm yakua, Kwa hii vita ya Uchumi waloianzisha Na Urusi.
Wazungu muda Si mrefu watarudi Afrika kuanza kupigania Malighafi kama ilivyokua wakati wa Ukoloni.
Na habari njema ni kwamba, Kwa aina ya Hawa viongozi tulonalo, TUTATAWALIWA UPYA.
Wazungu hawakwepeki mzeewazungu ni wapuuzi tena wapuuzi sana.afrika tuungane tufanye biashara zetu.tuachane na wazungu.ukiona mzungu anasifia jambo ujue tumeanza kuibiwa rasilimali zetu.kwa nn afrika tusiungane tukaacha kupeleka watoto wetu kusoma huko,tukafanya biashara sisi kwa kuliko kuing"ang"ania hii mibeberu?
Mzungu ndio mwenye taarifa zako zoteKwa ivo mtoa maada akili yako inaongozwa na kushikiliwa na mzungu? Akikwambia wewe ni nchi maskini hata kama una rasilimali utakubali? Akikwambia wewe ni tajiri ila unaishi kwa mlo mmoja ni sawa tu?