Sio hivo ...ebu nambie MTU anaposema michezo ya amberut anamaana gani ....haya pale kulikua na haja ya Kusema nyege bila kumalizia???..
Ngoma bado ipoooUMEONDOLEWA MKUU
WAMESHAI BLOCK.. KWA BONGO HAIPO ILA NJE YA NCHI UNAWEZA KUONA.WAME BLOCK IP ADRESS YA TANZANIANgoma bado ipooo
Jaribu kuwa serious basi,akafanyie mziki nje ya nchi ? Angeweza tu kama mashairi yake pamoja na lugha ingekuwa inajulikana ,hivi unapoimba nyege,nyege ,nyegezi unakuwa unaimanisha nini?
Tumia vpn utapata access ya video zote zisizoruhusiwa nchiniUMEONDOLEWA MKUU
ndio hua natumia mkuu kupata accessTumia vpn utapata access ya video zote zisizoruhusiwa nchini
Video unavailableWimbo bado upo You Tube na viewers wanazidi kuongezeka. Unapigwa African Beauty(na yale mauchi uchi) itakuja kuwa Mwanza(Nyegezi).
wale nao wanatakiwa kupigwa banNa Wale wa niki kuona na banwa na haja awaja onekana[emoji41]
Mbona mnawapakua wake zenu mitaro huko majumbani,halafu mkija kwenye jamii mnajifanya ni watu safi....Kama wimbo ilikua ni kuisifu na kuizungumzia Mwanza mambo ya kupakuana mitaro Mara mambo ya umber ruty yameingiaje!
Basata wako sahihi!