WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

Viewer Milion mbili mpaka sasa. Umeshajilipa.BASATA wamechelewa kuifungia
 
Jaribu kuwa serious basi,akafanyie mziki nje ya nchi ? Angeweza tu kama mashairi yake pamoja na lugha ingekuwa inajulikana ,hivi unapoimba nyege,nyege ,nyegezi unakuwa unaimanisha nini?

Nyege si neno la kiswahili kabisa linalotambulika?kama hamtaki kulisikia futeni kabisa hata kamusi ya kiswahili...upuuzi
 
Mediocrity everywhere, hakuna maendeleo sehemu ambayo wanasherekea mediocrity. BASATA wamejaa watu wavivu na wakawaida.
 
Atleast BASATA wameonesha wana meno, ila meno hayo yasiishie wcb tu. Hivi na kina Ney wa Mitego huwa wanalipa faini hizo au mna angalia wenye hela?
 
Wimbo bado upo You Tube na viewers wanazidi kuongezeka. Unapigwa African Beauty(na yale mauchi uchi) itakuja kuwa Mwanza(Nyegezi).
Video unavailable
The uploader has not made this video available in your country.




#1 ON TRENDINGRayvanny Ft Diamond Platnumz - Mwanza (Official Music Video)
1,761,920 views

32K2.9KSAVE





Rayvanny

Published on Nov 10, 2018

SUBSCRIBE

Category
Music
Music in this video
SHOW MORE




Comments are disabled for this video.
 
hata wakiuondoa mimi ninao kwenye kakimeo kangu naendelea kula burudani maana sina shida na maneno ya kwenye wimbo
 
Huku mwanza kila boda boda inaliza huu wimbo bado wanaoweka nyimbo kwenye simu ni vurugu tupu
 
Back
Top Bottom