Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Hapana amenipunguzia kukaa macho usikuAmekupunguzia mashuzi...!🤸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana amenipunguzia kukaa macho usikuAmekupunguzia mashuzi...!🤸
Hahahaha
SubhanAllah!🙏Hahahaha 😂
Dada hupoi Wala huboi🤸
Mimi mwenyewe Humu Kuna mtu namzimia sana Sema ndo hivoo naolewa soon
Ngoja ndoa ipite yatazungumzika
I love you!
Allah akbru🙏SubhanAllah!🙏
Astaghifilullah!🙏Allah akbru🙏
Makubwa haya, kwanini useme haya na unatarajia kufunga ndoa karibuni...au ndoa changa bado unataka kutoa mpira nje.Kubadilisha mlo sio dhambi
HahahahaUnaona raha kunibwaga au sio.
Hii ni Torati lakini
Mimi nilipata mke hapa, huu ni mwaka wa 11 sasa tunaishi mstarehee kabisa.Kumbe watu humu mnapendana kiukweliukweli🤓
Hamna noma lakini Sisi ni people 😂Hahahaha
Ww chemistry zetu haziendani🥲
We umewaza utelezi tu!Makubwa haya, kwanini useme haya na unatarajia kufunga ndoa karibuni...au ndoa changa bado unataka kutoa mpira nje.
Mzee wangu nichagulie Mali Safi basi.Ephen nimeshaanza nae program mkuu
Mkuu raraa reree kazi kwako.We umewaza utelezi tu!
Kwan mlo ni nini?
Au ukimpenda mtu lazima mlalane
Au nimekosea kuonesha appreciation zangu kwake?
Dear @- -ee♥️ usisikilize maneno ya watu..
I really appreciate you en you know Abt this.....
please appreciate me back tuwakomeshe viranga!!