We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

Huyo uzuri wake ule kwa macho tu kwanza.

Watu kama hao ukijuana nao sana ghafla mara nyingine, kwa sababu ushajenga image Fulani ya ajabu kichwani, wanaenda kuku disappoint.
wacha tu nilale.. kumsahau najaribu image yake bado ipo machoni pangu.
 
wacha tu nilale.. kumsahau najaribu image yake bado ipo machoni pangu.
Hata ukiniona tena kesho hutaniambia chochote utakuja tena hapa JF kulalamika. U are always given what u ask for
 
post: 17429983 said:
Asijekuwa kakuibia kitu
hapana sijaibiwa kitu zaidi ya. mawazo yangu.
 
Umalaya. On fleek
 
Siku ingine kuwa tayari na peni na karatasi, unaandika na kutafuta mwanya wa kumpa. Wanaume huwa hawapayuki ovyo kama wanawake

Mwambie na wewe ulivaa nini.

Hahaa, hapo ni mwendo wa winwin situation. Na yeye itabidi ajitaje kwanza alivaaje.
 

Hahaha, dah, na sijui kama mitaa ya kariakoo ulipata washroom yenye pressure bombaaa.

[emoji12]
[emoji12][emoji12]
[emoji12][emoji12]
[emoji12][emoji12]
 
Bahati yangu siyo mimi maana ungesababisha nichepuke buree!
 
Uwii kumbe kesho napaki Prado home napanda mwendokasi labda bahati ya mtende itaniangukia na Mimi
 
najaribu kuutafuta usingizi lakini siupati sijui nimeuangushia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…