Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Afadhali... Haya madude siyo poa Kwa afya ya akili
Unajua wenzetu sijui mnawaza kwa kutumia nini, ni kweli unaweza kucontrol afya ya akili kwa watu mamilioni? Tuseme ukofunga hizo site ndio watakuwa hawaangalii tena porn?
 
..wanafungia web za ngono lakini wanawaacha kina diamond na zuchu wanaimba nyimbo na video za matusi ndio itasaidia nini??....kama issue ni ngono...basi wazuie hata waimba ngono.....kama wanavyozuia sketi fupi bungeni na maofisini.....tz haiishi vioja...

Watanzania Akili zenu sijui vipi kwan lazima uskilize nyimbo zao ndo maana kuna kina goodluck na Rose mhando sikilizen nyimbo zao faken wew
 
Watanzania Akili zenu sijui vipi kwan lazima uskilize nyimbo zao ndo maana kuna kina goodluck na Rose mhando sikilizen nyimbo zao faken wew
sio lazima kusikiliza nyimbo zao...kama ambavyo si lazima kutazama web za ngono wanazofungia...kwa maana yote haya yanahusu privacy za watu....wewe ndie huna akili ya kujua lojiki ya mambo...
 
Back
Top Bottom