Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Yea nimenotice hiyo ishu.

Manslaw nini of needs sijui nimesahau kidogo inaiweka ngono kama miongoni mwa mahitaji ya binadamu.

Yaani ni kwamba utakula, utavaa, utalala ndani ya nyumba nzuri ila kama hupati ngono soon hivyo vyote utaviona takataka.

Nchi zilizoendelea au niseme zinazoamini kwamba ngono ni hitaji la binadamu zimeifanya ngono kua bidhaa na kujilipa kodi kutokea kwenye hiyo bidhaa. Pia wana access na tovuti za ngono, wana access na maduka ya ngono n.k.

Kwao kuna watu wamejiajiri kama waigizaji katika hizo tovuti. Nigeria kwa Afrika imeingia kwa kasi katika mtandao maarufu wa xvideos kwa kua na waigizaji wengi wa video za ngono baada ya nchi yao kuruhusu kuigiza filamu za ngono kuwe sehemu ya kujipatia kipato.

Teknolojia imekua.

Kuna applications nyingi za VPN za kuweza kuzunguka ili kuweza ingia katika tovuti ambazo zimewekewa kibano.

Hivyo hii siyo dawa sahihi. Kwakua ili iwe dawa barabara itabidi na playstore ibanwe, na websites zote zinazoweza kukupa VPN zibanwe. Jambo ambali litakua ni hatua kubwa katika kushughulikia swala kama hili.

Kwa angalau kidogo ninachokijua juu ya video za ngono, punyeto na nekromansi naunga mkono kwa hiki kibano ila nataka tujue kwamba kibano pekee hakitoshi.
 
duh sites zote za porn zimepigwa block kweli huyu IT aliyefanya hii kazi hakukurupuka bali alitafuta kila site kwa miaka zaid ya miwili then kaja kuzilamba burn zote kwa wakati mmoja.

sasa wale wanaosemaga wanamakundi ya whatsapp ya kuuza videos zao huenda sasa ukawa ndo muda wao maalum wa kuuza videos zao
 
Kweli hii nchi ya wapumbavu
Ku browse mtandaoni kwa taarifa yoyote ile ni haki yako ya Msingi bila kujali ni aina gani ya taarifa unatafuta
 
Yea nimenotice hiyo ishu.

Manslaw nini of needs sijui nimesahau kidogo inaiweka ngono kama miongoni mwa mahitaji ya binadamu.

Yaani ni kwamba utakula, utavaa, utalala ndani ya nyumba nzuri ila kama hupati ngono soon hivyo vyote utaviona takataka.

Nchi zilizoendelea au niseme zinazoamini kwamba ngono ni hitaji la binadamu zimeifanya ngono kua bidhaa na kujilipa kodi kutokea kwenye hiyo bidhaa. Pia wana access na tovuti za ngono, wana access na maduka ya ngono n.k.

Kwao kuna watu wamejiajiri kama waigizaji katika hizo tovuti. Nigeria kwa Afrika imeingia kwa kasi katika mtandao maarufu wa xvideos kwa kua na waigizaji wengi wa video za ngono baada ya nchi yao kuruhusu kuigiza filamu za ngono kuwe sehemu ya kujipatia kipato.

Teknolojia imekua.

Kuna applications nyingi za VPN za kuweza kuzunguka ili kuweza ingia katika tovuti ambazo zimewekewa kibano.

Hivyo hii siyo dawa sahihi. Kwakua ili iwe dawa barabara itabidi na playstore ibanwe, na websites zote zinazoweza kukupa VPN zibanwe. Jambo ambali litakua ni hatua kubwa katika kushughulikia swala kama hili.

Kwa angalau kidogo ninachokijua juu ya video za ngono, punyeto na nekromansi naunga mkono kwa hiki kibano ila nataka tujue kwamba kibano pekee hakitoshi.
Necromancy kivipi mkuu?
 
Sasa naona yale ma group ya whatsap yenye kutuma hizo video yatashamiri. Kujiunga 2000. Bongo Daresalam
 
Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Nyie ndio wale wa "hata mitandao ya kijamii ikifungiwa poa" na wakati huo unatumia mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom