Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Ngoja nicheki

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuanzia jana tovuti maarufu za ngono hazipatikani, labda utumie VPN. Kwa namna ya pekee naipongeza TCRA kwa kazi hii murua.

Nawapa pole wale ambao wamezoea kujifariji baada ya tozo za miamala, kodi ya majengo inayokusanywa na LUKU nk kuwa bila VPN haita wezekana.
 
Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Ni kweli zimefungwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wengii sana....ila wanafiki, utasikia mi siangaliagi[emoji57][emoji57]

Mi marafiki zangu wote hadi wamama watu wazima wanaangalia, tena wamekuwa addicted[emoji16][emoji16][emoji23]
Sasa Mimi huyo mtu husali hatari ila nilishangaa anafatilia hii kitu. Hizi video zitapeleka wengi jehanum
 
Kuna mambo Tanzania yanafanyika mpaka unajivunia Utanzania wako

Ila kuna mengine jaman ni aibu mpaka unatamani bora uwe mtalebani kutoka teraavivi

Hongereni tcra
 
Vipi na TELEGRAM wameifungia maana kule ndo unapata mubashara
 
Back
Top Bottom