Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Yea nimenotice hiyo ishu.

Manslaw nini of needs sijui nimesahau kidogo inaiweka ngono kama miongoni mwa mahitaji ya binadamu.

Yaani ni kwamba utakula, utavaa, utalala ndani ya nyumba nzuri ila kama hupati ngono soon hivyo vyote utaviona takataka.

Nchi zilizoendelea au niseme zinazoamini kwamba ngono ni hitaji la binadamu zimeifanya ngono kua bidhaa na kujilipa kodi kutokea kwenye hiyo bidhaa. Pia wana access na tovuti za ngono, wana access na maduka ya ngono n.k.

Kwao kuna watu wamejiajiri kama waigizaji katika hizo tovuti. Nigeria kwa Afrika imeingia kwa kasi katika mtandao maarufu wa xvideos kwa kua na waigizaji wengi wa video za ngono baada ya nchi yao kuruhusu kuigiza filamu za ngono kuwe sehemu ya kujipatia kipato.

Teknolojia imekua.

Kuna applications nyingi za VPN za kuweza kuzunguka ili kuweza ingia katika tovuti ambazo zimewekewa kibano.

Hivyo hii siyo dawa sahihi. Kwakua ili iwe dawa barabara itabidi na playstore ibanwe, na websites zote zinazoweza kukupa VPN zibanwe. Jambo ambali litakua ni hatua kubwa katika kushughulikia swala kama hili.

Kwa angalau kidogo ninachokijua juu ya video za ngono, punyeto na nekromansi naunga mkono kwa hiki kibano ila nataka tujue kwamba kibano pekee hakitoshi.
Aisee hujielewi unataka wabane hadi VPN Ili iweje ngono ni option ya mtu sio kufungia VPN
 
Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Kongole kwa Serikali yetu.Safi sana, angalau watu sasa tumgeukie MUNGU wetu aliyetuumba.
 
Back
Top Bottom