Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Yah mkuu..nlipiga advance 2012-2014..nliwakuta akina DENIS SANGU(R.I.P),MGWABI NDADADA,ACRAMS ABDULMAJID et al ndo waliotupokea pale kama unawafahamu..mkuu wa shule alikua MR.LIMIA
Limia namfahamu ila niliondoka pale six 2009
 
Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana...
Nimetest sasa hivi inaenda tena fasta zaidi, nafikiri zimewekewa busta zifunguke fasta zaidi.
 
Afadhali watoto sasa hasa wa sekondarui wa Day watakuwa wanasoma usiku sababu ndivyo waliokuwa wakishindia kuangalia usiku kucha na sasa ufaulu utaongezeka, Moja ya sababu ya wazazi wengi kukimbiza watoto sekondari Bweni kunakokataza simu ilikuwa ni hiyo.Vikiwa day kutwa kuangalia ngono

Pia sasa vijana wengi wanaosoma vyuo vikuu watapata GPA nzuri na watakuwa hawasinzii kwenye lecture madarasani!!! Mtu unafundisha robo tatu ya wanachuo wanasinzia DARASANI kisa kukesha usiku kucha kuangalia ngono

Pia watu wataanza kuwa na nguvu za kiuume na za kike zilizokuwa zimepotea kwa kukesha kuangalia ngono

Hongereni TCRA kwa hilo
 
Wengii sana....ila wanafiki, utasikia mi siangaliagi[emoji57][emoji57]

Mi marafiki zangu wote hadi wamama watu wazima wanaangalia, tena wamekuwa addicted[emoji16][emoji16][emoji23]
NLETEE MMOJA KIPENZI NIMFUNDISHE KUACHA! KWELI VILE...😅
 
Nchi ina matatizo Mengi,ajira,corona,ufisadi,utawala mbovu,
Raisi yupo bize kutuletea sheria za dini yake,siku si nyingi utasikia marufuku wanaume kusuka,kuvaa hereni,hakuna kuimba singeli,
Hii mijitu yenye imani kali za dini,haioni shida kuua kuiba,lakini inaona shida kuvaa hereni(wanaume),
Hii sio sheria mpya, ilikuwepo miaka mingi ila utekelezaji ndio haukuwepo.
 
Jambo la kupongeza sana. Uraibu wa porn sio mzuri kabisa na madhara yake ni makubwa kwa watu binafsi na taifa.

Hizo sites ambazo bado zipo hewani zitapigwa pini moja baada ya nyingine mpaka ziishe zote, ni suala la muda tu.
Bora uraibu wa ngono kuliko matumizi mabaya ya madaraka, uongo, ufisadi, unafiki, mengne malizia mwenyewe
 
Kuna koloni langu moja Hadi transport fee linalipa likimiss kupelekewa
Duh...

Taratibu kiongozi. "nasikia" ukiweka koloni la kudumu Kwa hao "watu" utajikuta mwisho wa siku kituo chako kinabadilika kuwa Chama "dry"
 
Back
Top Bottom