Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Jambo la kupongeza sana. Uraibu wa porn sio mzuri kabisa na madhara yake ni makubwa kwa watu binafsi na taifa.

Hizo sites ambazo bado zipo hewani zitapigwa pini moja baada ya nyingine mpaka ziishe zote, ni suala la muda tu.
Weka ushahidi
 
Wakuu twendeni ndani turudi nje uraibu wa porn sio mzuri na nichanzo cha michezo michafu pia mtu anasikia neno usagaji au ushoga akienda kule anaukuta!...
Pombe haina madhara? Watu wangapi wanakufa kwa ajili ya pombe? Addiction ya sigara je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…