Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa hizi video ni kama mboga kwenye ugalihizo kitu zimekuja wakati CHAPUTA ilishasajiliwa mkuu....hazihusiani kabisa.....
Linamba la customer care wa DStv huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Embu kaangalie kama wamefunga....Kuna uzi mwingine unaosema inawezekana ni kweli zimefungiwa! Wengi wanasema hawapati
Naunga mkono hoja ili kunusuru kizazi cha sasa na baadaye, siku hizi ngono haina faragha imekuwa ngono holela...........tutafika tuwe kama ng'ombe tunapandana hadharani....Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.
Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.
Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Nina full package had sim imekua nzito maana nime download mzigo wa kuangalia miaka 6 bila kurudia vdeo
Wakati huo natafuta mbinu nyingine ya kufikia site pendwa
Kama wametumia pesa kuzuia.. basi wajue wameichezea pesa Bora wangnunulia Tu mitungi ya oxygen [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.
Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.
Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]Nasikia wapiga kunyeto wamekaa kikao cha dharura tangu asubuhi hadi muda huu na hawajafikia mwafaka.
Mwenyekiti wao amepanga kwenda kuweka zuio mahakamani
Vijana wa huwa mnawaza kwa kutumia nini,mm data zangu huishia jf , BBC,aljazeera, CNN , DW ,mwanachi na TBC1Nimekaa nikawaza,najua asilimia kubwa ya watu hapa Tz wanatumia nusu au robo tatu ya data zao za internet kutoka mitandao mbalimbali kuangalia video za Ngono online
Hapa mitandao ya simu ilikuwa inapiga sana hela kupitia mauzo ya MB na serikali ilikuwa inapata Kodi kupitia mauzo hayo ya MB
sasa kitendo cha serikali kupiga BAN mitandao hii naona kama imejipunguza kiasi cha Kodi manake mtu ukiwa na MB utakaaa nayo hadi muda wake wa kuisha,ila kama unatumia hizo MB kuperuzi video za Ngono yani kifurushi cha wiki kinaisha ndani ya masaa kadhaa hivyo inakubidi ununue kifurushi kingine ,hapo serikali inakua imejiongezea mapato zaidi.
Serikali iangalia upya suala hili manake limeingilia faragha ya watu.
Mitandao mingi hasa ile iliyozoeleka na watu kama Xvideos,pornhub na mingine imepigwa banNani kafanya uu upuuzi wameban saa ngapi hakika tutamkumbuka yuke mtu alafu ndo kwanzaa asubuhi ,tukafanye tambiko chato kufuta hizi kauli za marehemu
Mkuu ni mitandao ipi ya porn iliyofungiwa? Kwenye network providers gani? Mbona hiyo mitandao ipo na inafunguka tu Google chrome.Nimekaa nikawaza,najua asilimia kubwa ya watu hapa Tz wanatumia nusu au robo tatu ya data zao za internet kutoka mitandao mbalimbali kuangalia video za Ngono online
Hapa mitandao ya simu ilikuwa inapiga sana hela kupitia mauzo ya MB na serikali ilikuwa inapata Kodi kupitia mauzo hayo ya MB
sasa kitendo cha serikali kupiga BAN mitandao hii naona kama imejipunguza kiasi cha Kodi manake mtu ukiwa na MB utakaaa nayo hadi muda wake wa kuisha,ila kama unatumia hizo MB kuperuzi video za Ngono yani kifurushi cha wiki kinaisha ndani ya masaa kadhaa hivyo inakubidi ununue kifurushi kingine ,hapo serikali inakua imejiongezea mapato zaidi.
Serikali iangalia upya suala hili manake limeingilia faragha ya watu.
Humu kila mtu ni mchungaji 😊 hata hvyo hzo site video zake zina view nyingi kuliko site zozote zile za video unazozijua we , sasa nawaza watazamaji ni akina Nani😀Mitandao mingi hasa ile iliyozoeleka na watu kama Xvideos,pornhub na mingine imepigwa ban
Haiwezekani waluga luga tushindwe zama chimbo kuzicheki hebu tupeni mbinu mbali mbali za kuwazoom kina grand Cherokee!
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji16][emoji16][emoji16]