Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Habari hii ni ya uongo na uzushi wa kiwango cha changarawe!

Embu dowload Vid mate app uone kama yaliyomo hayamo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali imekosea..picha za ngono zinasaidia watu kumaliza haja zao vizuri... substitute yake Sasa vitendo vya ubakaji vitaongezeka plus biashara ya ukahaba itaongezeka..wangeachia angalau watu wangetimiza haja zao wenyewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habarin wadau toka Jana najaribu kuingia kule Lakin Nashindwa nimejaribu kuangalia kama ni Bando ila wapi

Jana na juzi sikuweza kulala vizur kabisa kwani usiku ulikua Mrefu Sana naomba mwenye kufaham kinacho jiri atujulishe Asanteni
 
Kuna watu pia wanakuona wewe mjinga.

Kila mtu analipia bando lake na analitumia mwenyewe.

Tusiwapangie watu namna ya kutumia. [emoji23][emoji23]
Vijana wa CHADEMA huwa mnawaza kwa kutumia nini,mm data zangu huishia jf , BBC,aljazeera, CNN , DW ,mwanachi na TBC1

Huo upuuzi wa kungalia sexual movie ni ujinga wa wanachadema

USSR
 
Porn sites zilikuwa zinaleta Burdani kedekede, sasa watu watarudia kwenda kula kozi kwenye Maguest House wakati Mkapa alisema tuko kwenye zama za Sayansi na Teknolojia.

Hii Serikali imeshindwa mambo ya msingi inadandia vitu simple simple.

Shame.
 
Back
Top Bottom