Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Nahisi nikweli mi nimesechi leo hazikubali kuna demu kanifanyia fujo na video za ngono nikamjibu kwa kumshambulia na links hizifunguki, na hizo website hazifunguki
 
Naunga mkono hoja asilimia 100%
 
Unaposema unasikia unamaanisha unasikia sauti ya hizo websites au unasikia nini? Hakuna kilichofungwa, bila shaka una tatizo la kusikia
 
Binadamu sio ng'ombe umpangie fanya hiki usifanye kile,huwezi kumshuritisha binadamu,mwanadamu mpe Elimu,ana utashi wake,akielimika atafsnya maamuzi mazuri,ukimlazumisha lazima ajifunike kichwa(binti wa Kiislam),hakuna kukaa na wavulana,kwamba lazima aolewe akiwa bikra,basi tegemea vinti kutinduliwa Malinda maana hujampa stadi za maisha kuhusu umuhimu wa kutokufanya ngono mapema,wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…