Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Dah....kwa hili Mama Kama asipoingilia Kati....2025 hatoboiiii 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom