Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Uli Uzi wa picha za warembo umepungukiwa vyanzo vya malighafi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Nnai anazihitaji. Wacha zifungiwe hata hao wanaozionyesha wangefungwa tu ili kuondoa ugonjwa wa ulimbukeni na matusi
 
Sharia law🤣🤣...kumbe Taliban wapo hata huku kwetu.

In all seriousness,kwa akili za serikali wanaona wakiongeza bei za bando huku wamezuia sites hizi watu hawatalalamika sana ndio maana mabadiliko ya August 16 yamesitishwa .
 
Back
Top Bottom