Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

VPN haizuiliki
 
Haiwezekani waluga luga tushindwe zama chimbo kuzicheki hebu tupeni mbinu mbali mbali za kuwazoom kina grand Cherokee!
😜😜😜😜😁😁😁

Hata na hivyo wamefungia kwa baadhi tu ila zingine zinakamata kama kawaida
Uzuri hata hao waliozifungia hawazijui zote........kuna zaidi ya site milioni na upuuzi za haya mambo
 
Nitubu nirejee kwa Gwajima au Mwamposa?
Kwa MUNGU...

Mungu hatizami unasali kwa nani, unaswali wapi?

Anatizama moyoni mwako... Mungu ana mahusiano na mmoja mmoja na sio kama kundi... Kwenda sana msikitini/kanisani kunaweza kusikupe nafasi ya wewe kwenda peponi.

Mtafute Mungu kwa dhati toka ndani ya roho yako, UTAMUONA/ATAKUJIBU.

TUBU KAKA ACHA KEJELI, TUBU LEO TAFADHALI... NAKUOMBA NDUGU YANGU WEWE TUBU TU, MUNGU NI MWAMINIFU ATAKUSAMEHE.
 
Uzuri hata hao waliozifungia hawazijui zote........kuna zaidi ya site milioni na upuuzi za haya mambo
Unapumua? Uko salama?

Kuna mwenzio yuko mweisela pale sasahivi anapumulia mipira, kwa oksjeni bandia..

Mwingine yupo mecca anakata roho sasa hivi.

TUBU kakaangu, acha kejeli, narudia tubu USISHUPAZE shingo itakatika Tubu leo ndugu.

Sisi sote tumetenda dhambi Tutubu na Kurejea Kwa Mungu.
 
Sasa VPN wanazuia vp unachukulia hivi vitu ni simple simple
 
I don’t live to please people.
Can i ask you something my dear sister? Stop pleasing people, please your Almighty.

Tubu uirejeze nafsi yako mikononi mwa Mungu, acha kiburi cha kujiona mzuri.. wewe ni mdhambi kama mimi, wacha kiburi cha uhai.. dkt remmy (sura mbaya) alikuwa hai kama wewe.. yu wapi leo hii.

Tubu leo na umpendeze Muumba wako, TUBU acha dharau.
 
Toba itafuta porn sites?

Ewe mlokole tumia muda huu kuombea video za ngono ziliwe na virusi
 
Wakifunga askofu Rashid atauzia wapi kazi zake? Mbona mnamuandama Chidboy hivyo kila upande mnampiga pini tu siyo fresh hivyo.
 
Mtumishi wa Bwana unatafuta Nini kwenye huu Uzi aisee nakushauri huwezi mbadilisha mtu mzima aliuekubuhu Kwa style Yako hiyo unapunga upepo Bure tu Bora ukawahubirie Wataliban huko waache maasi!
 
Hongera mtakatifu.
 
Toba itafuta porn sites?

Ewe mlokole tumia muda huu kuombea video za ngono ziliwe na virusi
Wewe usizifuatilie hizo sites, fuatilia roho yako acha kiburi niko hapa kukumbusha tu, (funika kombe mwanaharamu apite... Yaani acha kuangalia hizo site na zitapita/hutazifatilia).

Tubu kakaangu, mimi sio mlokole, ila wewe tubu.. Mungu mwema.
 
Kama huna link ya porno nipe link ya kuniongoza kwenye toba
 
Mtumishi wa Bwana unatafuta Nini kwenye huu Uzi aisee nakushauri huwezi mbadilisha mtu mzima aliuekubuhu Kwa style Yako hiyo unapunga upepo Bure tu Bora ukawahubirie Wataliban huko waache maasi!
Nafanya kazi ya kukumbusha watu warejee kwa Mungu, TUBU MUNGU ANATAFUTA WADHAMBI WARUDI KWAKE LEO HII..

SIKO HAPA KUKUFATILIA, MUNGU ANATAFUTA WADHAMBI WARUDI KWAKE... ACHA KIBURI KAMA UNAJIONA MSAFI BASI UJUMBE HUU HAUKUHUSU..

ILA KAMA WEWE NI MDHAMBI KAMA MIMI, TUBU LEO KAKAANGU.
 
Hongera mtakatifu.
Acha kiburi.

Sote tumetenda dhambi Tutubu na Kurejea Kwa Mungu... Nakukumbusha tu..

Amekufa Cleopatra, sembuse mama amina? Tubu dadaangu nakupenda, ila MUNGU ANAKUPENDA SANA.
 
Doooh!!! wamezifunga bwna aise bandle zetu ss zitakuwa zinaliwa bure maana mzee ukimaliza kupeluzi mambo ya msingi unamia kule kwa waze wa kachumbali na mchicha mwiba!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…