Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Poleni watanzania, suala la porn ni private matter sio public interest,mtaishia wapi? Kupekua nyumba hadi nyumba kujua wanandoa wanalalaje?

Kazi mnayo...

Kudos kwa kuongea kwa perspective ya kisheria, hii nchi ni kama tuko kwenye ujima watu kutupangia nini cha kufanya!
 
Nyie vijana mliozaliwa baada ya Soko huria kuanza mna matatizo sana. Mkishindwa kujibu jambo, mnaishia kutukana.
Wewe kijana wa zamani angalia hizo video na uwape na wanao waangalie pia issue is very simple tumia mwili wako uwezavyo ndugu..
 
Umeoa/olewa?
Ulitaka kuijua dhambi yangu, je umeifahamu au bado hujaridhika?

Tubu kaka muda ndio huu, najua unapata ugumu ila wewe tubu tu Mungu MWAMINIFU ATAKUSAMEHE na kukutoa kwenye vifungo na kila aina ya utumwa unakuandama.

TUBU narudia tena TUBU
 
Acha ukaidi. Jibu swali. Ukaidi ni dhambi.

Umeoa/umeolewa?
 
Ukute sisi tutaingia mbinguni na tushasamehewa mwayego.
SOTE TUNA HAKI SAWA YA KUINGIA MBINGUNI.

ILA HAKI HIYO INAKUJA BAADA YA KUTUBU NA KUTIA JUHUDI YA DHATI KATIKA KUTENDA MEMA NA KUMPENDEZA MUNGU.

Tutubu jamani, tumrudie Muumba wetu.
 
Na
Acha ukaidi. Jibu swali. Ukaidi ni dhambi.

Umeoa/umeolewa?
Shukuru kama umeanza kufahamu kuwa ukaidi ni dhambi.

Mungu anakutaka utubu na kurejea kwake leo hii, je upo tayari au utakaidi?

Mungu atufanyie wepesi tutubu toka ndani ya mioyo yetu na kurejea kwake.
 
SOTE TUNA HAKI SAWA YA KUINGIA MBINGUNI.

ILA HAKI HIYO INAKUJA BAADA YA KUTUBU NA KUTIA JUHUDI YA DHATI KATIKA KUTENDA MEMA NA KUMPENDEZA MUNGU.

Tutubu jamani, tumrudie Muumba wetu.
Sa we nani kakwambiaa mi na Mungu tuna beef!
Si ajabu Mshua ana bragg on me.
 
Back
Top Bottom