He he! Mkuu hivi unaujua uraibu wa hizo video au unasema tu faragha! Hivi unaiacha jamii inaangalia video za uchi nyengine za usagaji na ushoga then unasema faragha! We unatetea then unaanza kusema vijana wa Sasa sijui vipivipi!! Hivi ukiwa kama mzazi unakuja kugundua mwanao amekuwa shoga kisa kajifunzia huko utajisikiaje..? Mwanao akose urijali wake kisa hayo mavideo kwa kuyapigia punyeto nayo ni faragha hiyo!!.
Mnatudharau vijana wasasa ila sie ndo tunauishi huo usasa wengine wanachoropoka wengine wananasa!,tunajua madhara ya hayo mambo.. ikiwa kama mkubwa lazima uelewe madhara ya teknolojia sio unatetea tu faragha,faradha nyengine hazifai acha waingilie tu ni shida sana haya mambo,Tena waje na kwenye movie Kuna movie za hovyo sana zinakuja na maudhui ya kipuuzi sana!.
Inapobidi serikali iingilie kati tu acheni mambo yenu ya hivyo.. hata hayo makanisa yapo baadhi yapo kwenye makazi yanakelele kweli mpk kero. Katika swala la kuabudu tz ishajipambanua vizuri tu.