Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Katibu wa chaputa
 
Basi tembea uchi na ule mizizi na uvae majani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ajenti kama ajenti
 
Basi tembea uchi na ule mizizi na uvae majani
acha uduanzi wewe kwani hao wanaofuata tamaduni zao Kama wachina,wakorea kaskazini,wajapani nk hua wanatembea uchi kisa hawajafuata dini za Middle east au Abrahamic religion?
Halafu kingine hayo uliyoorodhesha mbona hayana msingi na hayazuii mtu yeyote na jamii kutofuata Mila zao ila ni zama tu zimebadilika sababu wayahudi wa kale walivaa kanzu na kuingia sinagogi ila wa Leo wanavaa suti na synagogue wanatimba hivyo nguo sio kigezo ila ni mabadiliko ya kijamii na mwingiliano ila dini hazibadiliki kamwe!
 
Bwana mdogo acha porojo jamvin tembea uchi sasa kula mizizi
 
Babu tele ipo Cona ipi...?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Search unachotaka..utapata..andika kilimani then chagua group unalotaka...but Cha msingi kuzingatia ukifungua picha au ukifungua video huwa zinajidownload kwenye simu...so usijekuwa hujui kumbe video na picha za x zimejaa kwenye simu bila kujua.
 
kudadeki hii nch ninge kuwa na nauli ninge hama kabisa sasa wazee wa nyeto tukimbilie wapi wana acha kufuatilia vitu vya mhimu wana tuingilia uhuru wetu kwenye mtandao
 
Tubu ili uione kesho kwa namna ya kipekee, tubu kakaangu nakusihii sana tubu ndugu yangu, huo ujumbe wako ni uharibifu mkubwa sana..
 
Twitter Porn mbona ziko wazi muda wote ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…