Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Twitter kuna content nyingi za porn kushinda hata hizo website walizo ban[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nani kafanya uu upuuzi wameban saa ngapi hakika tutamkumbuka yuke mtu alafu ndo kwanzaa asubuhi ,tukafanye tambiko chato kufuta hizi kauli za marehemu

😂 😂 😂
 
Poleni sana, hivi hili nalo ni la kulalamikiwa...

Kuna binadamu watakuja kusema, CCM ndiyo imetufikisha hapa...
Wapo takaosema tatizo ni wapinzani...
 
Twitter kuna content nyingi za porn kushinda hata hizo website walizo ban[emoji16][emoji16][emoji16]
Utakuwa una matatizo ya akili. Kabla haujatuma utumbo kama huo, hua unausoma kwanza au unauachia tu kama ushuzi wa shoga. 😁😁😁
 
Vijana wa huwa mnawaza kwa kutumia nini,mm data zangu huishia jf , BBC,aljazeera, CNN , DW ,mwanachi na TBC1

Huo upuuzi wa kungalia sexual movie ni ujinga wa vijana

USSR
JF kila mtu mtakatifu[emoji16]
 
wamefanya la maana mno, porns na mitandao ya ngono imeharibu na ilichangia kuharibu watoto, vijana na wazee.

Zilichangia mno kuleta na kuhamasisha mambo ya ufirauni na ushoga. Pia zinachangia kuleta mihemko ya ajab na ya kishetani kwa rika zote.

Tena wapige life ban watakuwa wamekomboa vizazi vyetu na mambo ya ngono zembe na mambo ya ajabu

Na nashauri mitandao yote inayotangaza biashara za umalaya, ukahaba na ushoga kama insta, telegram na pamoko ipigwe life ban na ifutwe yote haifai

Ibaki mitandao yenye maana kama twitter

PIA BAA ZOTE, KUMBI ZOTE NA VIWANJA VYOTE VINAVYOTUMIWA NA MALAYA NA MAKAHABA KWAAJILI YA BIASHARA ZA UKAHABA ZIFUNGWE NA ZIFUTWE KABISA POLICE WAMWAGWE MAENEO HAYO ILI KUDHIBITI MALAYA.

TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI NA BARAKA. HATUTAKI HARAMU.
Huijui Twitter wewe..huko ukiamua kupatumia vzr huna haja ya kufungua website za porn.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huu nao Kumbe ni mjadala mkubwa kiasi hiki!!!kweli hizi ni nyakati za mwisho
 
Back
Top Bottom