Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kafanya uu upuuzi wameban saa ngapi hakika tutamkumbuka yuke mtu alafu ndo kwanzaa asubuhi ,tukafanye tambiko chato kufuta hizi kauli za marehemu
Acheni uongo bhn mbn mzigo upo clear tena haustaki
Wameanza na picha za uasherati then ushoga utafuatia.Wajikite kwenye kudhibiti ushoga sasa hapo ndio nitajua wako serious kiasi gani
Dume hilo, kuna jamaa alimkurupusha kwenye uzi mmoja hivi. Sijui ni kwanini anapenda kujitambulisha kama mrembo tena aliyefungasha.😅😅😅😅😅😅 Mbn km manzi tu
Utakuwa una matatizo ya akili. Kabla haujatuma utumbo kama huo, hua unausoma kwanza au unauachia tu kama ushuzi wa shoga. 😁😁😁Twitter kuna content nyingi za porn kushinda hata hizo website walizo ban[emoji16][emoji16][emoji16]
YapPole mkuu. Umeshapata chanjo?
Nipo kwenye dawa tayari. Ila yako ni ipi ?victoire kama ni type II nikupe dawa mama..
Naishi kwangu.Kwa iyo bado unaishi kwenu au ni mume wa ntu?
em nije PM tushauriane kama itafaa..Nipo kwenye dawa tayari. Ila yako ni ipi ?
JF kila mtu mtakatifu[emoji16]Vijana wa huwa mnawaza kwa kutumia nini,mm data zangu huishia jf , BBC,aljazeera, CNN , DW ,mwanachi na TBC1
Huo upuuzi wa kungalia sexual movie ni ujinga wa vijana
USSR
Phonerot...ipo moja ya zamani sana nimeikumbuka hawajaibaan hahaa kam ulishawah tumia waptrick zamani utakua umejua ni ipi
Huijui Twitter wewe..huko ukiamua kupatumia vzr huna haja ya kufungua website za porn.wamefanya la maana mno, porns na mitandao ya ngono imeharibu na ilichangia kuharibu watoto, vijana na wazee.
Zilichangia mno kuleta na kuhamasisha mambo ya ufirauni na ushoga. Pia zinachangia kuleta mihemko ya ajab na ya kishetani kwa rika zote.
Tena wapige life ban watakuwa wamekomboa vizazi vyetu na mambo ya ngono zembe na mambo ya ajabu
Na nashauri mitandao yote inayotangaza biashara za umalaya, ukahaba na ushoga kama insta, telegram na pamoko ipigwe life ban na ifutwe yote haifai
Ibaki mitandao yenye maana kama twitter
PIA BAA ZOTE, KUMBI ZOTE NA VIWANJA VYOTE VINAVYOTUMIWA NA MALAYA NA MAKAHABA KWAAJILI YA BIASHARA ZA UKAHABA ZIFUNGWE NA ZIFUTWE KABISA POLICE WAMWAGWE MAENEO HAYO ILI KUDHIBITI MALAYA.
TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI NA BARAKA. HATUTAKI HARAMU.
Hii nchi Kila mtu mjuvi wa mambo,tatizo ndo huanzia hapoPoleni sana, hivi hili nalo ni la kulalamikiwa...
Kuna binadamu watakuja kusema, CCM ndiyo imetufikisha hapa...
Wapo takaosema tatizo ni wapinzani...