kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nieendeeHuko Twitter mambo ni buli buliii mpaka raha [emoji23]
Exactly,nakazia.sijawahi tafuta kitu mtandandaoni nikakosa
Hii takataka ni ya kufungia kabisa bladifaken
Watoto wa majuzi wenyewe walianzia kuangalia kwny Ile channel E ya S/Africa,ijumaa na j'mosi kwny saa 7 usiku hapo.
Mazafanta aisee wanaume kumbe hamna siku hizi. Kumbe tatizo ni serious hivi.
So na wewe ujiona matawi sana kuangalia cnn,dw,bbc sikatai hii nawe ni burudani yako,binadamu lazima tuelewe kwamba sisi hatujaumbwa kufanana hata chembe, kila mmoja ana aina yake ya burudani.Vijana wa huwa mnawaza kwa kutumia nini,mm data zangu huishia jf , BBC,aljazeera, CNN , DW ,mwanachi na TBC1
Huo upuuzi wa kungalia sexual movie ni ujinga wa vijana
USSR
wamefanya la maana mno, porns na mitandao ya ngono imeharibu na ilichangia kuharibu watoto, vijana na wazee.
Zilichangia mno kuleta na kuhamasisha mambo ya ufirauni na ushoga. Pia zinachangia kuleta mihemko ya ajab na ya kishetani kwa rika zote.
Tena wapige life ban watakuwa wamekomboa vizazi vyetu na mambo ya ngono zembe na mambo ya ajabu
Na nashauri mi
Mtoto wako ataharibika kutokana na malezi yako na wala sio video za ngono.Jinga kabisa yaan ruhusu mapicha ya sex yanayotuharibia watoto wetu et kisa mapato? Serious MTU mzima na Akil zako et Serikal iangalie upya iachie mambo ya kijinga haya yaendelee?
Afya ya akili muitoe wapi? Hata mkipata afya ya akili hakuna chochote cha maana mtakachofanya ..Wazungu ndio wanaoongoza kwa kila aina ya uchafu na bado wametuzidi kila nyanja mnakuja kusingizia porn videoWachache wataelewa hili .. ni zaidi ya liberation kwa afya na akili za waliokuwa wahanga aliyeleta hili Jambo anastahili pongezi
Mambo ya Taleban mkuuPoleni watanzania, suala la porn ni private matter sio public interest,mtaishia wapi? Kupekua nyumba hadi nyumba kujua wanandoa wanalalaje?
Kazi mnayo...
Hii kitu inakela sana mkuuWajikite kwenye kudhibiti ushoga sasa hapo ndio nitajua wako serious kiasi gani
Mishipa inavyotutoka hapa kukemea maadili watu wanahisi tunastress za maisha. Mimi kama mzazi, kama kaka, kama mjomba, baba mdogo, baba mkubwa, na mwanaume . Siwezi kukubali jamii yangu ipate hii fedheha hata kidogo. Nitapambana hadi uzeeni.