Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Kulikuwa na taarifa za watu kulalamika mualiko wa Ambar Rutty katika shule mmoja Temeke. Nikataka kuingia mtandao mmoja wa pilau ili niangalie tena ile clip ya Ambar Rutty. Nimejaribu jana la leo mtandao umegoma kabisa.

Lakini nikakumbuka kama serikali ilitoa tamko la kutaka kufungia hiyo mitandao. Je imeshafungiwa tayari?

Kama imefungiwa naipongeza sana serikali
 
One word, three letters

V.P.N

Haya yule mtu wa kutoa salamu kwa watu watatu aje amalize kazi
 
Kulikuwa na taarifa za watu kulalamika mualiko wa Ambar Rutty katika shule mmoja Temeke. Nikataka kuingia mtandao mmoja wa pilau ili niangalie tena ile clip ya Ambar Rutty. Nimejaribu jana la leo mtandao umegoma kabisa.

Lakini nikakumbuka kama serikali ilitoa tamko la kutaka kufungia hiyo mitandao. Je imeshafungiwa tayari?

Kama imefungiwa naipongeza sana serikali
Ipo wazi labda huo ulioufungua ndiyo umefungwa tena ipo mingi zaidi ya ya ilivyokuwa mwanzo.
 
Hao waliofanya hivyo ina maana wanazijua websites zote za mambo hayo?
Nadhani zipo ambazo wamezisahau, hawawezi kuzijua zote.
Na kama walizijua zote basi walikuwa wadau wakubwa[emoji23]
 
Serikali inaingilia uhuru wa watu kufurahia maisha yao.

Matatizo nchi hii yako lukuki watu wanahangaika na porn sites kweli?
 
Pornhub imefuta movies zoote ambazo wahusika walizi upload kupitia web yao.So kwa sasa milioms of porn vid. Hazipo.Wameacha zile ambazo ma actors walifanyia kupitia kampuni lao tu
 
hii ishu ni kweli ama uongo?

mbona kwangu inakubali kufunguka vizuri 😁😁
Screenshot_20210829-091207.png
 
Haiwezekani kuingia huko bila kutumia VPN, wewe umetumia VPN ndiyo maana umeweza kuingia huko.
 
Back
Top Bottom