klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Sijambo sana tu niko fresh,achaa matata unataka kujihalalishia sio
<br />
<br />
nimekuelewa lakini hii bado ni ngumu sana kuikubali. Inauma zaidi ya jipu la moyo.
Hata kama mtaendelea kuishi, hiyo dosari nadhani itaathiri sana ndoa and things will never be the same.
Mimi hata nikishuku tu, mood inabadilika kabisa. As you have said kwa wakati mwingine tunaweza kuwa na maneno mengi kabla hayajatusibu....once yakitukuta labda tutakuwa na msimamo tofauti.
sharing that thing aisee...mmmmh! I am very possessive and selfish when it comes to HIM. Kajisemea nyumba kubwa ...nina wivu wa kukata mtu shingo.
Mbona wanaume wengine huwa wakianza huko nje home inakuwa goodbye kama swala ni kuongeza idadi ya siku za kufanya mapenzi, mapenzi yanaelemea upande mmoja, nakubaliana na baioloji, pia unaweza panga ratiba tu na mkeo akahimili vishindoThat will never happen na ndio maana nikasema kwa mwanamme rijali kutulia na kuridhika na mwanamke mmoja inawezekana lakini ni sacrifice, maumbile ya mwanaume yanamruhusu kufanya sex kila siku na infakt anahitaji sex at least after every three days, sasa angalia demand ya mwanamke kwenye sex (kama utampa purukushani za kisawasawa anaweza akakaa wiki mbili ana uchovu) kisha vuta kalkuleta yako, weka siku za mwezini, changanya za ujauzito, weka mood ya mwanamke ambayo ni concern kubwa kwenye sex kwa mwanamke, baada ya kujifungua e.t.c nakazalika!
msipingane na nature wajameni, lazima mkubali matokeo,
Samahani ashadii kwa kukuuliza hili swali nataka klorokwini apate picha fulani, mumeo wa kwanza alipo kuwa anacheat, aliendelea kuwa wa kawaida kitandani? hakuwa anakutolea nje au alimanage vipi...samahani kama huwezi jibu ipotezeeI know dear... I know kabisaa na do accept kua haya mambo yakitokea katika ndoa things never be the same again, In fact kuna thread iliwahi uliza hii issue ya Would you say it? (Courtesy of Kaizer) LINK ... Hii page post # 219 for nishakuwekea page.. nimeelezea vipi nitachukulia nikigundua ka cheat, na ni kipi kitanifanya nibaki ama niondoke... Hii thread ilitoa saana insight ya jinsi members wake kwa waume wanachukulia cheating...
Narudia i am very possessive... But my possessiveness inaweza isiwe evident kwake akaona kama namuacha huru (in the sense i have my lines/bounderies i don't allow him to cross) - I do that kumsoma zaidi... Na lingine naongea mambo mengi from experience, i was married (my first ndoa) for kama 19 months... in those months huyo ex ali cheat na wanawake watatu (hao ndio i was aware... you can imagine) wa nne nilimwambia najua mienendo yake na nikaachia ngazi... Hakuamini... Bado haamini... Hivo ninaposema i understand him to cheat.. Simaanishi nafumbia macho daima... Kuna factors nyingi... Haya mambo ya ndoa haya.... Hapa naona sina la kuongeza....
Kwa kweli nashukuru ila navojua wanaume akipata chombo kipya inakuwa balaa tena sio kwamba anapunguza hamu anahamia kabisa kimawazo,kiakili na kwa kila kitu, mara nyingi inatokeaheheeh hapana bana! Shukuru sana umeumbwa kadada, hivi unaposkia mwanaume kabaka mbuzi au kifaranga cha kuku bado haitoshi tu kukuthibitishia kwamba wanaume wana extra excuse?
Ashadii , Tulizo ni stranger wako nini,hahahahaaa joke, it seems humu kila mtu ana secret admire wake ila Tullizo huwa napenda sana na mie michango yake
Nimekaa muda mrefu kwenye ndoa na nimeyaona yote haya , akiwa na mwanamke unaweza hata lia kwa kuomba unyumba tu, anakuwa amebase upande mmoja anakuwa na hasira za mara kwa mara hata kwa jambo dogo tu, sasa kama ingekuwa kupunguza hamu tu asinge egamia upand e mmoja coz baiolojia inamruhusu kuwa na kufanya mapenzi pande zote bila kuteterekeMbona wanaume wengine huwa wakianza huko nje home inakuwa goodbye kama swala ni kuongeza idadi ya siku za kufanya mapenzi, mapenzi yanaelemea upande mmoja, nakubaliana na baioloji, pia unaweza panga ratiba tu na mkeo akahimili vishindo
Sweetie anaingia mitini sana siku hizi, bora uhamie kwa tulizo ,mnaongea kwa lugha moja,nimemwona leo sijui mitaaa gani mara kapoteaha ha ha.... Hapana Gaga... Your joke is a good one... Can not imagine him in those lines... Mbona roho yangu itateseka saaana... Maana misimamo yake mmmh! Tulizo hutoaga insights very unique ambazo sometimes nashindwa nielewe kama nimuonee wivu ama vipi...lol.. Stranger wangu mie Sweetie...lol.. Oh! Sio stranger tena maana tushafunga Ndoa (shahidi Kloro...lol)
Samahani ashadii kwa kukuuliza hili swali nataka klorokwini apate picha fulani, mumeo wa kwanza alipo kuwa anacheat, aliendelea kuwa wa kawaida kitandani? hakuwa anakutolea nje au alimanage vipi...samahani kama huwezi jibu ipotezee
Nimekuelewa na nashukuru kwa kunijibu, kwa jibu lako klorokwini ameshinda kesi, baasi hawa wengine wanaume wanafanya makusudiUsijali Shantel... I am good... In fact haku Change... and he was a Great lay....
Ni moja ya wale wanaume ambao mwanamke mmoja kwake sio kabisa... Na sijisifii... i know kua as much as anapenda Wanawake... Mimi alinipenda for real, for that is evident mpaka leo... My Man wakati wa mahusiano aliwahi chimbwa bit, kua he should not hurt me like he (the ex) did... That made me feel so good thou mpaka leo najua he still is a jerk! Na roho yangu ilikufa kabisa mpaka leo... in fact hata we don't communicate kabisa.
Hope nimekujibu sawa...
Dah ulibahatika rafiki huyu wangu alivokuwa anacheat anaenda mazima, hapo unaweza mbahatisha mara mbili kwa mwezi au moja au anapiga desh kabisa, ila akipigwa kibuti huko unaweza omba maji, aaahhhgr life goes onUsijali Shantel... I am good... In fact haku Change... and he was a Great lay....
Ni moja ya wale wanaume ambao mwanamke mmoja kwake sio kabisa... Na sijisifii... i know kua as much as anapenda Wanawake... Mimi alinipenda for real, for that is evident mpaka leo... My Man wakati wa mahusiano aliwahi chimbwa bit, kua he should not hurt me like he (the ex) did... That made me feel so good thou mpaka leo najua he still is a jerk! Na roho yangu ilikufa kabisa mpaka leo... in fact hata we don't communicate kabisa.
Hope nimekujibu sawa...
Sweetie anaingia mitini sana siku hizi, bora uhamie kwa tulizo ,mnaongea kwa lugha moja,nimemwona leo sijui mitaaa gani mara kapotea
Anajikausha tu tulizo, ila mvumilie sweetie maana kakutoa mbali sanaSaa ingine hata mimi hufikiria hivo... Ila nashindwa, ngoja niweze shinda roho yangu hii bishi.... (Alafu Tulizo does not even know kua na exist)
Dah ulibahatika rafiki huyu wangu alivokuwa anacheat anaenda mazima, hapo unaweza mbahatisha mara mbili kwa mwezi au moja au anapiga desh kabisa, ila akipigwa kibuti huko unaweza omba maji, aaahhhgr life goes on
Anajikausha tu tulizo, ila mvumilie sweetie maana kakutoa mbali sana
Nimekuelewa na nashukuru kwa kunijibu, kwa jibu lako klorokwini ameshinda kesi, baasi hawa wengine wanaume wanafanya makusudi
Ukiwa na stranger kama huyu si mbaya , au ndio stranger wa shantel huyu??nimependa mchango wakoBinadamu hatujaumbwa kama Malaika na nitakuwa mnafiki kama nitasema binadamu ambaye amejifunga na mpenzi wake basi na moyo wake umejifunga. Big No.. Moyo Wa binadamu hauridhiki kumbuka tunajifunza kuuridhisha Moyo na kujifunga na wapendwa wetu. Hapa ndipo tunapata heshima, urafiki, mapenzi na maisha hasa yale ya ndoa.
Upendo na maisha ni pale tu tunapoweza kupigana na kushinda changamoto au kwa lugha nyingine vishawishi ambavyo viko ndani ya miili yetu na mawazo yetu daima. Hapa ndipo sehemu ambapo Wivu umelala..Ni kwa jinsi gani unaweza kukubali kuwa mpenzi wako anaweza mpenda mtu mwingine..yeye kama binadamu. Kama unaona unaweza kuzuia basi utakuwa na wivu kupindukia, lakini kama unaamini vyote vyawezekana na unamwachia mwenzako kama binadamu kupambana navyo hapo degree ya wivu inapungua..
Binafsi, siwezi kushangaa kama mke wangu kama atamzimikia mtu mwingine kutokana na quality fulani..hata kama atakuwa anawasiliana na kushauriana kwangu sio issue..ni human instinct na inaonyesha yeye ni kamili..lakini Issue itakuwa tu kama atashindwa kudhibiti vishawishi vya mwili na kuanza ku-cheat.
All in all, yes, unaweza kumpenda Stranger kutokana na vigezo fulani kwani wewe ni binadamu.. Ku-upgrade huo upendo hasa kama tayari umeshajifunga hapo ndipo tunasema No.. You should control yourself!
Na hapa ukicheat utaambiwa unakosea? wanaume wengine wanajitafutia mabalaa tu, maana nafikiria ingekuwa mie ningeandamanaDah ulibahatika rafiki huyu wangu alivokuwa anacheat anaenda mazima, hapo unaweza mbahatisha mara mbili kwa mwezi au moja au anapiga desh kabisa, ila akipigwa kibuti huko unaweza omba maji, aaahhhgr life goes on
NN, those are tough words...esp. that "golden rule". My question to you would be: How can I tell that I'm being true to myself?First and foremost, you can conquer those thoughts through sheer willpower. In my opinion, this is an inborn trait, not an acquired one. Therefore, you either have it or you don't.
By working with what is already there (willpower), you can now engage the power of reason by being considerate to your other half. You put yourself in his or her shoes and think of how you would feel if the tables were turned. If you end up not liking it if it were you on the other end of the stick then you apply the golden rule. So trying to live by the Golden Rule is another way to overcome temptation(s).
Another thing is to set very high moral standards for yourself. I am not a religious person but I do agree with most of the so-called god's ten commandments. I think most of them are very good moral instructions that if you try your best to adhere to them then I have no doubt that you will live a life of unimpeachable integrity.
Last but not least, be true to yourself. Don't try to be whom you are not. Just be you and 'do' you!
Ulikuwa wapi vuvu na wewe, i think being true to your self ni pale unapoamua kufata moyo wako and nothing else, but subiri aje NN alway anakuja na majibu muruaNN, those are tough words...esp. that "golden rule". My question to you would be: How can I tell that I'm being true to myself?