Weekend Story! The Man of the People love triangle!

My big sis is better than yourssss ..daadaa wanyoosheee they so called mens[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Sijui kwanini sina mzuka kiivyo na next episode, labda kwasababu Mercy naye alisha cheat before kwahiyo hii kesi ya kumfumania MOTP itakuwa sio kesi kubwa

Ooops! Team roho mbaya kumbe wapo busy kuangalia mabaya ya MOTP Ila usaliti wa Mercy hawakuuona.

Hamna kesi hapo, MOTP Ana panic bure tu. Kumfumania mwanaume anaye timiza majukumu yake ipasavyo sio ishu

By the way hii friendship zone baina ya MOTP na Lara1 siielewi elewi. Anyways, ujanja wako wote MOTP umekuja kudakwa kiboya kwelikweli, yani unaacha simu home kindezi huku umesha jua Nairobi kuna bomu linalipuka any time.
 
Hivi Mercy kucheat na mzava kulikuwa na tatizo gani? Nikudate wewe mume wa mtu ambaye huwezi kunioa afu atokee mtu anataka kunioa nimuache, kisa nini?
 

Kwani muathirika ali mcheat Mercy au yule Mke wa KWANZA? Msimfanyie man of the people UNFAIR COUNTS. Sahivi kamuoa Mercy na Mercy kamcheat na watu wa 3 tu. Za nyuma ziliacha kuhesabika kwa mwenye ndoa yake kumove on na maisha mengine. Tuwe fair.
 

Umeonaaaa, MOTP kadakwaaa kiboyaaa sanaaaa. Hujajuaaaa tu yaliojiriiii. Mi naweza kusema tu AROBAINI YAKE ILIFIKAAAA. Arobaini yako ikifika bwana, fanya ufanyavyo lazima udakweee.

Usikose next episodeee. MOTP nakuibia tu 40 YAKE ILIFIKA NA WHATEVER YOU DO IN DARKNESS COMES TO LIGHT. Ndo kilichomkutaaa. Usikosee.

Afu uarafiki wangu na MOTP naomba uache kama ulivo. Mwenywe nazengea zengea hapa kama fisiiii. Kwani hi mi vaccation mimi sii mind mnadhaniii? Mercy akinawaa tu, namdaka MOTP juu. Namwambia nakusaidia kule wanaoaaa. Nakuwa kama Majorey Harvey! Simbaniii.

Akitaka kuchepukaa namwambia unampitisha kwanza hapa kwa mkeo, nimfanyie ukaguziii, kama hana TBS namwambia huyo achana nae kakomaa bwanaa, bora hata flani. Mke wa digitali kama mimi ndo namuweza MOTP.

Na mimi Mungu wangu hashindwi jambo. Heheheeeeeeeeeee!
 
My big sis is better than yourssss ..daadaa wanyoosheee they so called mens[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]

Afu mwambie aache kimbelembele front cha kusema michepuko tusipewe treatment za wife! Kwani sisi wio wanwake? Huyo mke ana nini na sisi tuna nini? Na mmind nimetoa like kishingo upandee tu ila ajue sio poa kukata tawi nilio kalia fanani wake. Heheeeeeee!
 
Hahaha maandiko yanasema "mke ni kitu chema na kahaba ni shimo refu"; suit yourself
 

Hahahahaaaa! Sio kwamba mimi hilo silijui, MAYBE NEXT POST NITAJARIBU NIONE ITAKUWAJEE. SO BADALA YA KUENDELEA HUKU NIWE NAENDELEA PALE PALE KWENYE FRONT PAGE. LETS TRY THIS AND SEE. NITAFANYIA KAZI.

Ill get in touch dear, ila si unaonaa hapa, Mbingu zime rule in our favor mimi na Naima, Mercy akinawaaa tu, naanza kupambana na Naima, na yule kikongwe mimi haniwezii nadhani hilo liko wazi ndugu wasomajii.

Seriously ill get in touch, sijasahau mpendwa. Na zawadi zipo gado.
 
Hahaha maandiko yanasema "mke ni kitu chema na kahaba ni shimo refu"; suit yourself

Ila makahaba wengi kwenye bible wame LIVE LARGE.

Tuanze na Rahabu. Si akatoa uzao wa Messiah. Ukirudi rudi nyumaaa huko kuna yule mke Hosea. Tukienda mbele yule aliemfuta Yesu miguu na machozi yake, yule alieletwa kazini, akaambiwa asameheweee.

Sio kwamba nasifia, ila nachosema ni kuwa HAYA MAMBO HAYAJAANZA LEO, NA MWISHO WA HAWA WATU SIO KWENYE BIBBLE SIO WAPI HAUWAGI MBAYA WALA NINI.

Mimi nikiwa MKE naomba twende sawa kwenye hilo neno sitofanya makosa ya Mercy kungolewa na mijitu iko nje huko. Sitopambana na hao wakosa bahati hata siku mojaaa wala sekunde. Nitafocus kwenye kumpa mahaba MOTP, mahaba niue, mahaba niponde ponde kama nyanyaa, mahaba nipotezeee, namrogaaaa namogaa kweli kweliiiii sio kidogo kiasi kwamba mda wa kupiga hizo penalty anakuwa hanaaaa. Autoe wapi wakati mwenyewe mimi PENALTY TOSHAA. Cha zaidi atakuwa ana haha kunichungaaa mimi mda wote. Hatoona cha penalty wala goal kick.

Uzuri mi mwenyewe kungwi la kimataifaaa. Wanae navojipendekeza utasema nimewazaa mimi. Wake wenzangu shoga zanguuu, hata wakipasha kiporooo poa tu. Kwani mwisho wa siku anarudi wapi?

Ndo maana nawaambia MOTP hajapata badomtu wa kummuduuu. Namba kubwa ile inahiaji akili kubwa kuimuduuu.
 
MOTP mtafute mkeo muyajenge na utubu kwa dhati na huyo Naima hakutakii mema kwanza huwezi kumuoa maana bado ni mke wa mtu. Mrudie mkeo na ukome kuchepuka
 
Huyu labda umpe nyama ya tako sijui au umroge hilo dushe lake lisisimame huko nje lasivyo na wewe utakua kama mercy tu atakucheat
 
ILA JAMANI NAIMAAA MSHENZII NA KIBOKO YA MOTP! HAHAHAAAAAAAAAAAAA! NDO NINI KUPIGA MI SIMU MFULULIZOOOO KAMA ILE NA KUJIAMBULISHA MI NAIMA! HAHAHAAAAAAAAAAA! YAAAAANI KANICHOSHA SHOGA ETUUU.

KAONA MUNGU ANACHELEWA BORA AENDE MWENYEWE NA SURURU KWENYE NDOA YA MOTP AKATIE TIE NYUFA KINDOA CHA MOTP, MPAKA KIBOMOKE CHENYEWE YEYE YUPO KONA STANDBY KUWA MKE WA MOTP. HAHAHAAA HALOOOOO! WANAWAKE SISI.

KWELI ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE.
 

Ahhaa umeona ulivyowaita sasa "wakosa bahati"

It's like this, shetani siku zote hawezi akakutumia afu akutwike mabaya. Lazima akuperembe na vitu vizuri vizuri ili uendelee kuwa mfuasi wake mwema before he strikes you down mazima. Ndo hizo bata tunazoona wanakula hadi tunatamani. Ila siku zote baraka za shetani huchanganyika na maumivu, huzuni na majuto unlike baraka za Mungu, muulize Naima anavyochanganyikiwa. Na mercy asingepanic honestly after simu za Naima, ndo akili za michepuko zilivyo, akuchanganye weee uachie ngazi. Ukikomaa yenyewe inabaki kutapatapa na vichaa vyao. Mimi will always stick na the nyumba kubwas, watu wenye vibali vyao mbele za Mungu. Not necessarily michepuko kuwa na mwisho mbaya duniani, maana tunaishi tu kwa neema, hesabu zetu huko, but just a thought kwamba "I'm his second best"... God forbid,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…